Na Mungu akusaidieNaweka nadhiri kwa Mungu. Lazima nitoe sadaka ya kipekee kabisa kanisani ambayo sijawai kutoa tangu nizaliwe jambo hili litakapotimia mwaka huu.
Mungu bariki Mtumishi wako Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025, kwa Jina lako Yesu Kristo. Amen
Kaletwa na Mungu wa Ibrahim, Isaka na YakoboLissu ametusaidia kulainisha huyu muovu mpaka sasa kwenye kampeni amekuwa kama sanamu
Kama Bwana Aishivyo Bwana Wa Majeshi amtendee Mtumishi wake TAL kama watanzania wapendavyo. AmeenTakbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe Tumechoka kuona damu
Amiin yarabi Amiin
He is the One Promised for this landThe next President of the United Republic of Tanzania Mh. Lissu the GREATEST
View attachment 1606580
Polepole ccm ishinde isishinde habakiPolepole kamejua hali ni ngumu ndiyo maana kameomba pesa za kuihujumu kuidhoofisha chadema ili kapige kajilipe kiinua mgongo mapema maana mara baada ya uchaguzi lazima katafukuzwa tu
Mzee anasema kweli.Angalia hii hadi mwisho
View attachment 1606586
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atakuwa Rais atakaeapishwa na Amsterdam kuongoza wazee wa faragha.
Mtakoma mwka huuHata Libya walifanya mabadiliko nini wameambulia?
Binadamu ni binadamu tu, asili yetu ni moja
Yeyote anaweza kutuvusha au kutuangusha