Tundu Lisu anasababisha watu wasiende makazini, anakwamisha ujenzi wa Tanzania ya viwanda.Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
View attachment 1541003
View attachment 1541005
View attachment 1541012
UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?
#AWOOOOTEEH!
Ni kweli kabisa mkuu nakuunga mkono 100%. Hata baada ya kujitangaza hadharani kuwa yeye ni kichaa na anateua vichaa wenzake bado nzi wa kijani wameendelea kumzunguka na kumshangaa anapozungumza. Wengine anawabeba kwenye malori na kuwasogeza wamzunguke na kumshangaa!Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Mkuu jamaa kaongea ukweli siyo😁, nahisi umeumia Sana😃😃Kichaa hupiga shangazi zake na kumgawa mama yake kwa washikaji! Huyo ndiye kichaa wa kweli!
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
View attachment 1541003
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?
#AWOOOOTEEH!