Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

18 Agosti 2020
Mbarali, Mbeya
Tanzania

Tundu Lissu, awashangaza Wambarali, kila aendapo wanamkuta Lissu

Wananchi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wafanya pashapasha ya mwili wakimsubiri kwa hamu Tundu Lissu pande za CHADEMA Kanda ya Nyasa nyanda za Juu Kusini
source: swahili villa
 
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.

View attachment 1541003
View attachment 1541005

View attachment 1541012

UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.

Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.

Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.

#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?

#AWOOOOTEEH!
Tundu Lisu anasababisha watu wasiende makazini, anakwamisha ujenzi wa Tanzania ya viwanda.
 
18 JULAI 2020
Viwanja vya MwembeTogwa
Iringa, Tanzania

AITAKA SERIKALI KUACHA VITISHO UCHAGUZI HUU WA 2020

Tundu Lissu awapa nasaha serikali na wasimamizi wa uchaguzi kuwa hali imebadilika, dunia nzima inaitazama Tanzania hivyo hakuna nafasi watu wasiojulikana wasijulikane.
Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Ni kweli kabisa mkuu nakuunga mkono 100%. Hata baada ya kujitangaza hadharani kuwa yeye ni kichaa na anateua vichaa wenzake bado nzi wa kijani wameendelea kumzunguka na kumshangaa anapozungumza. Wengine anawabeba kwenye malori na kuwasogeza wamzunguke na kumshangaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.

View attachment 1541003

#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?

#AWOOOOTEEH!​

Je, kwa wananchi wa eneo hili, atawambia nini?
 
Back
Top Bottom