Hamna kitu hapa. Akumbuke mwaka 2015 ilikuwa ni mwaka wa mtetemo. Haya ni maigizo tuTunatishana sana jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapa. Akumbuke mwaka 2015 ilikuwa ni mwaka wa mtetemo. Haya ni maigizo tuTunatishana sana jamani
SUBIRI nawe uweHata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Mbona kwa lowassa ilikuwa n mara mbili ya huyu nyumbu na bado alishindwa in short hamna mtu hapoMgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
View attachment 1541003
View attachment 1541005
View attachment 1541012
UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?
#AWOOOOTEEH!
Labda wewe ndio huwa unashangaa kichaa.Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Alete sera Sasa apigiwe kuraMgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
View attachment 1541003
View attachment 1541005
View attachment 1541012
UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?
#AWOOOOTEEH!
uliambiwa kila kijiji kitapewa 50milioni keshi money Halmashauri inaingiaje hap....subirini LISSU AWAPASUWE KWENYE KAMPENI
Kwa kuongezea tu kwenye hoja yako mujarabu, hiyo ELIMU YA URAIA (iliyositishwa kwa takribani miaka mitano sasa na ilikwishaondolewa katika mitaala ya shule miaka kadhaa) anayoitoa ni mchango mkubwa kuelekea ukombozi wa taifa hili kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi - kama sio mwaka huu, basi itakuwa 2025 au 2030. Ukombozi haudondoki kama mvua, hupiganiwa tena kwa muda mrefu. Pamoja na kumwaga ELIMU YA URAIA, pia huu ni ujumbe tosha kwa mhusika mkuu kuwa ile projekti ya kuua upinzani ifikapo 2020 imefeli vibaya sana. Arejee kwenye drawing board, achemshe ubongo upya.Kwani wakati wa Lowassa cdm ilikuwa imekufa? Ni kweli hawatampigia kura, lakini wamekubali kwenda kumsikiliza, hilo pekee linatosha. Na tungekuwa na tume huru basi hapo ukweli wote ungekuwa hadharani.
Hapo ndio anaomba wadhamini? Aandike anayoyaongea maana kampeni zikianza asijerudi haya haya tunataka mapyaMgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
View attachment 1541003
View attachment 1541005
View attachment 1541012
UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?
#AWOOOOTEEH!
Unadhani lowasa hakupigiwa kura na watanzania?Kwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajinga.
Sasa hiyo si ndio neema kwa magufuli kushinda kwa kihindo. Mimi nilifikiri MATAGA mgeiona hii ni habari kuw nzuri ili ajichoshe!!Jamaa anajichosha kabla hata kampeni hazijaanza na anapoteza kamvuto kadogo ambako anadai anako.
Sasa kampeni zikianza Rasmi utakuta ashachoka na Raia washazoea blah blah zake.
Of course ndio maana unaona hakuna anayehangaika naye,Sasa hiyo si ndio neema kwa magufuli kushinda kwa kihindo. Mimi nilifikiri MATAGA mgeiona hii ni habari kuw nzuri ili ajichoshe!!
Vichaa huwa hawana madini, acha utopolo weweHata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Lissu ni mwanaume wa shoka, kapigwa risasi 16 na bado karudi nchini na anaunguruma kama Simba dume wa nyikani, moto ule ule alipoishia sept 11 2017Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020.
View attachment 1541003
View attachment 1541005
View attachment 1541012
UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi?
#AWOOOOTEEH!