GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini inayomkabili.

Leo upande wa Jamhuri utajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilishwa na shahidi namba tatu wa Jamhuri kuwa visipokelewe na mahakama.

 
Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,

Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Kabisa, na hiyo kujiamini ndiyo haswaa chura kiziwi anayoiogopa...hapo lissu angekuwa kanywea kama maji ya mtungi angeshaagiza kesi ya mchongo ifutwe siku miingi!
Lissu ni mpinzani wa kweli kupata kutokea nchi hii!!.
 
Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,

Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Kusemewa uongo na kuwekwa ktk mazingira ya kutisha yenye harufu ya kifo, siku zote lengo lake ni KUKUTIA HOFU na WOGA...

Lengo la kumtia mtu HOFU na WOGA ni kumwondolea mtu huyo ujasiri, ajione ana hatia na hana haki yoyote hivyo ajimalize kwa kujiua mwenyewe kwa sbb ya huo WOGA na HOFU..

HOFU na WOGA ndiyo silaha ya mwisho kabisa anayoitumia shetani kuwaangamiza watu...

Ukifanikiwa kuishinda HOFU na WOGA, tayari unakuwa umewashinda adui zako 100%...

Tundu Lissu ameyashinda yote haya...!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
"Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini inayomkabili.

Leo upande wa Jamhuri utajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilishwa na shahidi namba tatu wa Jamhuri kuwa visipokelewe na mahakama.
Hawajui wanapambana na mtu wa aina gani laiti wangelijua wasingepambana na huyu mtu. Na Lissu hafi. Sema "mashahidi wawili" Ufunuo 11:3
 
Lissu ana furaha ya kutosha kuliko matapeli wanaofanya ziara na wasanii nchi nzima walizozibandika jina la kampeni halafu sasa wanatumia nguvu kuhamasisha watu wakapoteze muda kupiga kura ya kiinimacho ambapo wanatumia hadi polisi kama kikundi cha hamasa ila bado asilimia kubwa wamewapuuza wamehamia kwenye vitisho vya maandamano.
 
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa uchaguzi ukiisha basi hatokaa muda mrefu mung'ande.

Kwasasa achore ramani yake vizuri maana ana kazi nzito sana ya kukiongoza chama kisicho na ruzuku.

Atawajua vizuri watanzania katika uongozi wake.

Namtakia kila la heri juu yake maana kelele zake zitasaidia kubadili baadhi ya mambo.Jambo bwana FAM anamzoom tu kwa mbali.

Sasa ligi ndio inaenda kuanza upande wake japo alichagua kutupa ushindi wa rahisi sana CCM.Huyu atakuwa alivuta mpunga au kuna wajinga mapandikizi walimjaza nae akajaa.

Ukweli NRNE ni kampeni mfu na soon atalijua hilo uchaguzi ukipita aombe usifanyike.
 
Lissu ana furaha ya kutosha kuliko matapeli wanaofanya ziara na wasanii nchi nzima walizozibandika jina la kampeni halafu sasa wanatumia nguvu kuhamasisha watu wakapoteze muda kupiga kura ya kiinimacho ambapo wanatumia hadi polisi kama kikundi cha hamasa ila bado asilimia kubwa wamewapuuza wamehamia kwenye vitisho vya maandamano.
vikundi vya hamara ni maigizo matupu
 
Back
Top Bottom