GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa uchaguzi ukiisha basi hatokaa muda mrefu mung'ande.

Kwasasa achore ramani yake vizuri maana ana kazi nzito sana ya kukiongoza chama kisicho na ruzuku.

Atawajua vizuri watanzania katika uongozi wake.

Namtakia kila la heri juu yake maana kelele zake zitasaidia kubadili baadhi ya mambo.Jambo bwana FAM anamzoom tu kwa mbali.

Sasa ligi ndio inaenda kuanza upande wake japo alichagua kutupa ushindi wa rahisi sana CCM.Huyu atakuwa alivuta mpunga au kuna wajinga mapandikizi walimjaza nae akajaa.

Ukweli NRNE ni kampeni mfu na soon atalijua hilo uchaguzi ukipita aombe usifanyike.
Kama NRNE ni kampeni mfu, kwa nn wanamshikilia?
Wamuqchie uone NRNE ilivyo na nguvu
 
Huyu sasa ndiyo mpambanaji wa kweli. Siyo Robert Heriel Mtibeli

😂😂😂
Mnamsapuza mwenzenu yakimkuta mnamkimbia.

Mimi sina ukatili huo.
Siwezi kubali watu wenye haki na wapenda haki wafe na kujitoa mhanga kwajili ya watu wajinga, wabinafsi, wanafiki na wasio na shukrani.

Hivyo ndivyo watibeli tulivyo.
Hata Yesu alisema usimwage Lulu kwenye nguruwe, wasije wakazikanyaga na kukurarua. Ndicho anachofanya Tundu Lisu

Anapambania watu wasiostahili. Na hiyo inamuingiza kwenye kundi la watu wajinga waliojidhulumu au watakaojidhulumu
 
Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,

Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Ukiwa katika hali ngumu kwa namna yake, ....huku mamilioni ya wananchi wanakuombea! Na kukutakia heri....Mungu hukuondolea huzuni ili neema yake itamalaki machoni pa watesi wake.
 
😂😂😂
Mnamsapuza mwenzenu yakimkuta mnamkimbia.

Mimi sina ukatili huo.
Siwezi kubali watu wenye haki na wapenda haki wafe na kujitoa mhanga kwajili ya watu wajinga, wabinafsi, wanafiki na wasio na shukrani.

Hivyo ndivyo watibeli tulivyo.
Hata Yesu alisema usimwage Lulu kwenye nguruwe, wasije wakazikanyaga na kukurarua. Ndicho anachofanya Tundu Lisu

Anapambania watu wasiostahili. Na hiyo inamuingiza kwenye kundi la watu wajinga waliojidhulumu au watakaojidhulumu
Sema wewe jamaa ulitaka tu kujipachika cheo ambacho hustahili kuwa nacho.

Mtu kama Tundu Lissu tayari ana maisha kupitia kazi yake ya Uanasheria/Uwakili, bado alikuwa ni mbunge kwa miaka 10! Ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema), ana haki ya ukimbizi wa Ubelgiji (na hii ni baada ya kushambuliwa na serikali ya Magufuli mwaka 2017), nk.

Lakini kwa sababu ni Mzalendo na mpambanaji kwa nchi yake, ameona arudi aje kupambania haya maovu yaliyokithiri nchini. Na ushahidi tunauona! Amekataa hongo kutoka kwa mtoto wa Rais! Na bado hakuna mahali amelalamika kuchoka kuwapambania Watanzania!!

Sasa wewe jamaa yetu hatujawahi kukuona kokote ukipigania haki za wananchi! Zaidi umekuwa ukiwaletea mashabiki wako humu jukwaani story zako za Kitibeli (sijui ndiyo kitu gani hiki?) Eti leo unakuja kutupiga fix za kuchoka kuwapigania wananchi wasio jitambua!! Mara mke wako amekuzuia usitoke tareje 29! Hao wananchi umewapigania wapi Comrade? Ndiyo maana watu wanakushangaa!! 😀😀
 
Ndugu zangu mnaoniquote nashindwa kuwajibu kwasababu nikibonyeza reply yanakuja maneno yote mliyoandika kwenye kibox ninachotakiwa mimi kujibu.

Hili tatizo limeanza ghafla tu halikuwepo before kwa anaejua anisaidie kutatua.
 
Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,

Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Samia mwenyewe anashindwa kujuwa huyu ni mtu wa aina gani.
Alitegemea wakati huu Tundu Lissu angekuwa ni kama kiazi kinachooza; lakini ni kama ndio kwanza anachipuka na kuwa na nguvu zaidi.
 
Tundu Lissu tunakusubiri kwa hamu sana tuendeleze siasa za mageuzi.
 
😂😂😂
Mnamsapuza mwenzenu yakimkuta mnamkimbia.

Mimi sina ukatili huo.
Siwezi kubali watu wenye haki na wapenda haki wafe na kujitoa mhanga kwajili ya watu wajinga, wabinafsi, wanafiki na wasio na shukrani.

Hivyo ndivyo watibeli tulivyo.
Hata Yesu alisema usimwage Lulu kwenye nguruwe, wasije wakazikanyaga na kukurarua. Ndicho anachofanya Tundu Lisu

Anapambania watu wasiostahili. Na hiyo inamuingiza kwenye kundi la watu wajinga waliojidhulumu au watakaojidhulumu
Kuna ndugu yako mwingine humu, Dennis Robert Shunguru, kama siyo wewe mwenyewe unayetumia majina mengine. Wote ni machizi.
Kama ni kujiuza utu wenu ili mjifanye kuwa machzi kama mnavyojionyesha humu, hiyo ni hasara kwa nchi hii.
Watu wasiojitambua ni kama nyinyi, mnaotumiwa tu kama vikaratasi vya kuchambia chooni.
 
Samia mwenyewe anashindwa kujuwa huyu ni mtu wa aina gani.
Alitegemea wakati huu Tundu Lissu angekuwa ni kama kiazi kinachooza; lakini ni kama ndio kwanza anachipuka na kuwa na nguvu zaidi.
Tundu Lissu ni mteremko mkali sana mbele wenye kona kali sana CCM gia zilishagoma kuingia na breki zilisha feli huwezi kuwambia chochote wakakuelewa ngoja tuone huu mtanange
 
Sema wewe jamaa ulitaka tu kujipachika cheo ambacho hustahili kuwa nacho.

Mtu kama Tundu Lissu tayari ana maisha kupitia kazi yake ya Uanasheria/Uwakili, bado alikuwa ni mbunge kwa miaka 10! Ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema), ana haki ya ukimbizi wa Ubelgiji (na hii ni baada ya kushambuliwa na serikali ya Magufuli mwaka 2017), nk.

Lakini kwa sababu ni Mzalendo na mpambanaji kwa nchi yake, ameona arudi aje kupambania haya maovu yaliyokithiri nchini. Na ushahidi tunauona! Amekataa hongo kutoka kwa mtoto wa Rais! Na bado hakuna mahali amelalamika kuchoka kuwapambania Watanzania!!

Sasa wewe jamaa yetu hatujawahi kukuona kokote ukipigania haki za wananchi! Zaidi umekuwa ukiwaletea mashabiki wako humu jukwaani story zako za Kitibeli (sijui ndiyo kitu gani hiki?) Eti leo unakuja kutupiga fix za kuchoka kuwapigania wananchi wasio jitambua!! Mara mke wako amekuzuia usitoke tareje 29! Hao wananchi umewapigania wapi Comrade? Ndiyo maana watu wanakushangaa!! 😀😀
Yupo humu ameingia kwa VPN kwenye jukwaa ambalo watawala wanaona ni kikwazo wamelipiga ban
 
Sema wewe jamaa ulitaka tu kujipachika cheo ambacho hustahili kuwa nacho.
Hapa unanishangaza kiasi. Cheo gani uliona nnajipachika?
Mimi ni Mtibeli, utibeli sio cheo.
Sisi nguzo zetu ni HAKI, KWELI, UPENDO NA AKILI. Hayo mambo manne
Kama hayo ndio kwako umeyapa tafsiri ya kujipa cheo basi utakuwa upo karibu kabisa na ukweli.

Mtu kama Tundu Lissu tayari ana maisha kupitia kazi yake ya Uanasheria/Uwakili, bado alikuwa ni mbunge kwa miaka 10! Ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema), ana haki ya ukimbizi wa Ubelgiji (na hii ni baada ya kushambuliwa na serikali ya Magufuli mwaka 2017), nk.

Mkuu kwenye haya Maisha kila mtu anamaisha yake.
Lissu anafanya sehemu ya kile anachoona kinafaa katika jamii yake.
Na wewe halikadhalika, na mimi vilevile.

Lakini kwa sababu ni Mzalendo na mpambanaji kwa nchi yake, ameona arudi aje kupambania haya maovu yaliyokithiri nchini. Na ushahidi tunauona! Amekataa hongo kutoka kwa mtoto wa Rais! Na bado hakuna mahali amelalamika kuchoka kuwapambania Watanzania!!
Hahaha! Kila mtu anakiwango chake cha ustahimilivu.
Kingine tofauti yangu na Lisu ni kwenye timing lakini pia Watibeli hatuwezi kutetea haki za watu wasiotaka kutetewa, watu wanafiki, watu wabinafsi na watu wasio na shukrani. Hiyo ndio tofauti yetu na Tundu Antipas Lisu.
Ni kweli watibeli tunapenda Haki lakini hatuwezi kuiathiri haki yetu pia kwa kupambania haki za watu wasiojua thamani ya haki yenyewe

Sasa wewe jamaa yetu hatujawahi kukuona kokote ukipigania haki za wananchi! Zaidi umekuwa ukiwaletea mashabiki wako humu jukwaani story zako za Kitibeli (sijui ndiyo kitu gani hiki?) Eti leo unakuja kutupiga fix za kuchoka kuwapigania wananchi wasio jitambua!! Mara mke wako amekuzuia usitoke tareje 29! Hao wananchi umewapigania wapi Comrade? Ndiyo maana watu wanakushangaa!! 😀😀

Soma kwa hatua na utuo ninapoandika mambo yangu.

Ninapoandika andiko lolote lazima liwe limejikita katika moja ya mambo haya manne HAKI, KWELI, UPENDO NA AKILI/MAARIFA.
Au vyote kwa pamoja.

So mimi kusema ukweli najua ukweli hauwezi kuwa na faida kwa watu kama nyie ikiwa unakugusa kwa upande hasi.

Nyie ni wabinafsi san. Mnaroho ya shetani ya chura kuchochea wenzenu wajiingize kwenye matatizo alafu yakiwakuta mnawatelekeza.

Mkiambia ukweli mnarusha maneno.
.
 
Back
Top Bottom