Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kabisa, na hiyo kujiamini ndiyo haswaa chura kiziwi anayoiogopa...hapo lissu angekuwa kanywea kama maji ya mtungi angeshaagiza kesi ya mchongo ifutwe siku miingi!Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,
Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Kusemewa uongo na kuwekwa ktk mazingira ya kutisha yenye harufu ya kifo, siku zote lengo lake ni KUKUTIA HOFU na WOGA...Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,
Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Sawa. Asante kwa taarifa. Anakujaje sasa? Ngoja tuendelee kusubiri.
Hawajui wanapambana na mtu wa aina gani laiti wangelijua wasingepambana na huyu mtu. Na Lissu hafi. Sema "mashahidi wawili" Ufunuo 11:3"Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini inayomkabili.
Leo upande wa Jamhuri utajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilishwa na shahidi namba tatu wa Jamhuri kuwa visipokelewe na mahakama.
vikundi vya hamara ni maigizo matupuLissu ana furaha ya kutosha kuliko matapeli wanaofanya ziara na wasanii nchi nzima walizozibandika jina la kampeni halafu sasa wanatumia nguvu kuhamasisha watu wakapoteze muda kupiga kura ya kiinimacho ambapo wanatumia hadi polisi kama kikundi cha hamasa ila bado asilimia kubwa wamewapuuza wamehamia kwenye vitisho vya maandamano.
Kabisa angeopa poo mapema kama kengezaHuyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,
Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.