Kama NRNE ni kampeni mfu, kwa nn wanamshikilia?Kila mwenye akili timamu anajua kuwa uchaguzi ukiisha basi hatokaa muda mrefu mung'ande.
Kwasasa achore ramani yake vizuri maana ana kazi nzito sana ya kukiongoza chama kisicho na ruzuku.
Atawajua vizuri watanzania katika uongozi wake.
Namtakia kila la heri juu yake maana kelele zake zitasaidia kubadili baadhi ya mambo.Jambo bwana FAM anamzoom tu kwa mbali.
Sasa ligi ndio inaenda kuanza upande wake japo alichagua kutupa ushindi wa rahisi sana CCM.Huyu atakuwa alivuta mpunga au kuna wajinga mapandikizi walimjaza nae akajaa.
Ukweli NRNE ni kampeni mfu na soon atalijua hilo uchaguzi ukipita aombe usifanyike.
Huyu sasa ndiyo mpambanaji wa kweli. Siyo Robert Heriel Mtibeli
Ukiwa katika hali ngumu kwa namna yake, ....huku mamilioni ya wananchi wanakuombea! Na kukutakia heri....Mungu hukuondolea huzuni ili neema yake itamalaki machoni pa watesi wake.Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,
Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Sema wewe jamaa ulitaka tu kujipachika cheo ambacho hustahili kuwa nacho.πππ
Mnamsapuza mwenzenu yakimkuta mnamkimbia.
Mimi sina ukatili huo.
Siwezi kubali watu wenye haki na wapenda haki wafe na kujitoa mhanga kwajili ya watu wajinga, wabinafsi, wanafiki na wasio na shukrani.
Hivyo ndivyo watibeli tulivyo.
Hata Yesu alisema usimwage Lulu kwenye nguruwe, wasije wakazikanyaga na kukurarua. Ndicho anachofanya Tundu Lisu
Anapambania watu wasiostahili. Na hiyo inamuingiza kwenye kundi la watu wajinga waliojidhulumu au watakaojidhulumu
Samia mwenyewe anashindwa kujuwa huyu ni mtu wa aina gani.Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,
Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Kuna ndugu yako mwingine humu, Dennis Robert Shunguru, kama siyo wewe mwenyewe unayetumia majina mengine. Wote ni machizi.πππ
Mnamsapuza mwenzenu yakimkuta mnamkimbia.
Mimi sina ukatili huo.
Siwezi kubali watu wenye haki na wapenda haki wafe na kujitoa mhanga kwajili ya watu wajinga, wabinafsi, wanafiki na wasio na shukrani.
Hivyo ndivyo watibeli tulivyo.
Hata Yesu alisema usimwage Lulu kwenye nguruwe, wasije wakazikanyaga na kukurarua. Ndicho anachofanya Tundu Lisu
Anapambania watu wasiostahili. Na hiyo inamuingiza kwenye kundi la watu wajinga waliojidhulumu au watakaojidhulumu
Tundu Lissu ni mteremko mkali sana mbele wenye kona kali sana CCM gia zilishagoma kuingia na breki zilisha feli huwezi kuwambia chochote wakakuelewa ngoja tuone huu mtanangeSamia mwenyewe anashindwa kujuwa huyu ni mtu wa aina gani.
Alitegemea wakati huu Tundu Lissu angekuwa ni kama kiazi kinachooza; lakini ni kama ndio kwanza anachipuka na kuwa na nguvu zaidi.
Yupo humu ameingia kwa VPN kwenye jukwaa ambalo watawala wanaona ni kikwazo wamelipiga banSema wewe jamaa ulitaka tu kujipachika cheo ambacho hustahili kuwa nacho.
Mtu kama Tundu Lissu tayari ana maisha kupitia kazi yake ya Uanasheria/Uwakili, bado alikuwa ni mbunge kwa miaka 10! Ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema), ana haki ya ukimbizi wa Ubelgiji (na hii ni baada ya kushambuliwa na serikali ya Magufuli mwaka 2017), nk.
Lakini kwa sababu ni Mzalendo na mpambanaji kwa nchi yake, ameona arudi aje kupambania haya maovu yaliyokithiri nchini. Na ushahidi tunauona! Amekataa hongo kutoka kwa mtoto wa Rais! Na bado hakuna mahali amelalamika kuchoka kuwapambania Watanzania!!
Sasa wewe jamaa yetu hatujawahi kukuona kokote ukipigania haki za wananchi! Zaidi umekuwa ukiwaletea mashabiki wako humu jukwaani story zako za Kitibeli (sijui ndiyo kitu gani hiki?) Eti leo unakuja kutupiga fix za kuchoka kuwapigania wananchi wasio jitambua!! Mara mke wako amekuzuia usitoke tareje 29! Hao wananchi umewapigania wapi Comrade? Ndiyo maana watu wanakushangaa!! ππ
Hawaelewi kuwa wana deal na mtu genius.Huyu jamaa ana ujasiri wa hali ya juu sana aisee,
Sio kila mtu anaweza akawa kwenye matatizo ya aina hiyo kisha akawa na self confidence kiasi hicho.
Hapa unanishangaza kiasi. Cheo gani uliona nnajipachika?Sema wewe jamaa ulitaka tu kujipachika cheo ambacho hustahili kuwa nacho.
Mtu kama Tundu Lissu tayari ana maisha kupitia kazi yake ya Uanasheria/Uwakili, bado alikuwa ni mbunge kwa miaka 10! Ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini (Chadema), ana haki ya ukimbizi wa Ubelgiji (na hii ni baada ya kushambuliwa na serikali ya Magufuli mwaka 2017), nk.
Hahaha! Kila mtu anakiwango chake cha ustahimilivu.Lakini kwa sababu ni Mzalendo na mpambanaji kwa nchi yake, ameona arudi aje kupambania haya maovu yaliyokithiri nchini. Na ushahidi tunauona! Amekataa hongo kutoka kwa mtoto wa Rais! Na bado hakuna mahali amelalamika kuchoka kuwapambania Watanzania!!