Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Jamaa gani??Huyu jamaa Mungu ampe maisha marefu sana. .
Jamaa gani??Huyu jamaa Mungu ampe maisha marefu sana. .
Tunataka apunguze "kiroba" tumbo hicho kama au zaidi ya ilivyokuwa kwa Seth wa Iptl.Ila jamaa kapungua
Sawa wewe uliye na akili au utu umechukua hatua gani uliomsaidia tundu lissuWewe ni hayawani punguani. Jisikitikie kwa kukosa akili na utu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa?Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.
Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.
Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.
waache wenyewe wanaamini kuwa TUNDU LISSU ndyo Anointed Messiah wao, kupitia yeye TANZANIA itakuwa ni Paradiso (detergent brain washed), atawatua mizigo mizito waliyojibebesha hapa dunianiTundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe

Hqkunagawaache wenyewe wanaamini kuwa TUNDU LISSU ndyo Anointed Messiah wao, kupitia yeye TANZANIA itakuwa ni Paradiso (detergent brain washed), atawatua mizigo mizito waliyojibebesha hapa duniani![]()
Iko wazi kama ya mbuziTz inaweza ikawa ina wAtu wenye roho mbaya kuliko hata hitler
Mabadiliko ya kweli hutokea kwa watu wachache walioitwa kujitoa mhanga. Japo wanaweza kupoteza maisha na hata kupitia mateso makubwa (mf. Mandela, Steve Biko, Ken Sarowiwa) lakini daima hukumbukwa vyema na historia. Legacy!Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha