LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
How?Yaani wewe umeningiza kwenye tatizo kubwa boss acha tu
How?Yaani wewe umeningiza kwenye tatizo kubwa boss acha tu
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.
Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.
Hilo ndio lengo lao kuu MkuuKwan huyu baba wanamtoa lini huko mbona kama kampeni zinaendelea yeye wamamficha huko
Unaakili sanaTundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Sawa bhana najua unasema vise versaUnaakili sana
Change is a must na haiepukikiChange is coming for who naunakaa hujitolei unamtegemea mwanaumme wenzako achange hali kama hii hata nyerere hakuwa mwenyewe na mjue mnawivu maana ni mwanamke anaongoza nchi mxiuu mnaboa Mshana Jr
"Jela, jela kubaya....!"Ila jamaa kapungua
Huyu Jamaa mna uhakika yuko gerezani kweli?Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.
Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.
Chawa kama chawa.....hahaha.Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
100%Yatapitaa ..
Hakuna Hali inayodumu Kwenye maishà ya mwana damu..
Kuna watu walikuwa wakimsinichi nyerere wakidhani uhuru hautapatikana.Hata akina Nyerere walikaa kimya uhuru ukaletwa kwenye sahani. Kama wewe ni muoga kaa kimya mwenyewe.
😹😹😹 ankal unajichosha na dish hilo?Atampa Inshallah
Stupid🥺😡😡😡😡😡
Wewe ni Mjinga, waliopigania uhuru wa nchi hii wangekaa kimya ingekuaje?Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Nileteeni nina tiba yake😹😹😹 ankal unajichosha na dish hilo?
Huyo anachojua kulilia wanaume na kuwaroga achana naye..!!
😹😹😹 Tutamleta apunguze ujinga..!!Nileteeni nina tiba yake
View attachment 3401918
Man is rational being mawazo kama haya yanatutofautishaje na ng'ombe, kuku mbuzi n.k.Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.