Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .

Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Umepanic
 
Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Nje ya siasa, hatufanyi vitu kwa ajili yetu bali kwa ajili ya wengine mf: kazi nk.
 
Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Nchi ikiwa na watu stupid na silly kama ww itakua ni taifa la ajabu lisiloweza hata kijitikosa ,Nyerere angekua mjinga na Ng'ombe kias hiki Basi Iddi Amin angechukua Kagera yote na pengine angeendelea mpaka achukue na mwanza na Kanda ya ziwa yote kama tu tukipata watu wa aina hii
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.

Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.

Jamaa anafurahisha sana anavyoingia mahakamani kwa tabasamu kama yuko Picnic/beach yaani yuko normal tu kama hakuna chochote kilichotokea
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.

Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.

Aachiwe tu awe huru mtaani.
Mtu aliepigwa risasi akanusurika vile
 
Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Bahati mbaya unamwambia maneno haya mtu aliyegoma kufa!
 
Nchi ikiwa na watu stupid na silly kama ww itakua ni taifa la ajabu lisiloweza hata kijitikosa ,Nyerere angekua mjinga na Ng'ombe kias hiki Basi Iddi Amin angechukua Kagera yote na pengine angeendelea mpaka achukue na mwanza na Kanda ya ziwa yote kama tu tukipata watu wa aina hii
Tukiwa na wasiokuwa namaono kama wewe saivi hata nyerere asingepata nchi ya tanzania . Huna facts wala akili yautambuzi soma wapi waingereza walipigana na Tanzania sisi kupata uhuru nyerere alitumia akili ndio akapata nchi.

Ila kwa iddi amini huwezi kutumia akili peke yake unatumia akili na nguvu na usimfananishe tundu lissu na nyerere .
Uongozi wote wa nyerere hajawahi kujitafutia na watoto wake kama hawa kwanza tundu lissu kupitia chadema alifaidika watoto wake wapo njee wa wanaishi na mke wake .

Wewe upo hapo ulipo huna hata hela ya chai kazi unatema cheche na mtu hata hakujui unadhani akipata uongozi atakujua atajua watoto wake na ndugu zake wewe usitafute yako hangaika na tundu lissu.

kwanza ukiangalia no one anaroho ngumu kama hii yakumtesa mwenzake kama anavyoteswa now . Ila zaidi ya hiyo hangaika na maisha yako naukivyo mpumbavu na mnafiki mbona huonekani kama tundu lissu ukijitoa muhanga
 
Change is coming for who naunakaa hujitolei unamtegemea mwanaumme wenzako achange hali kama hii hata nyerere hakuwa mwenyewe na mjue mnawivu maana ni mwanamke anaongoza nchi mxiuu mnaboa Mshana Jr
 
Back
Top Bottom