Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hata Uislam wake nao mashaka matupu!MamaSamia2025 ni sadist. Hawapendi kabisa Wakristo na wakosoaji wake
Hata Uislam wake nao mashaka matupu!MamaSamia2025 ni sadist. Hawapendi kabisa Wakristo na wakosoaji wake
Kukaa kimya wakati kuna mambo yanakuumiza moyo ni ugonjwa,Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Kwa hiyo kama watu hawavai chupi na wewe usivae?Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
mwisho wa uovu ni aibuTz inaweza ikawa ina wAtu wenye roho mbaya kuliko hata hitler
Ampe busara na hekimaHuyu jamaa Mungu ampe maisha marefu sana. .
Nani anayo namba, ya Coy mzungu,Icon ya Tanganyika
Eti uraiani kunafananaje!, we si mzee wa ukombozi tulia upate dozi🤣🤣🤣Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Sikuwahi kujua kama uko na kaujinga kichwaniUkianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Kajitoa mhanga kutetea majitu majinga ambayo hayajitambuiHuyu jamaa Mungu ampe maisha marefu sana. .
Washauri CHADEMA wafanye hata fundraising ajili ya huyu jamaa mchango wake ni mkubwa snChange is coming
wajinga na wapumbavu kama hawa hata enzi ya Nyerere walikuwepoBasi nyerere na wenzake wangekaa tu bila kupigania uhuru🚮
Hicho kichwa chako uanze kukitumia kufikiri kwa usahihi na sio kuvalia mawigi tu.Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Magereza sio sehem nzuri ndugu.. tumuombee tuIla jamaa kapungua
Kabisa kabla ya mwezi huu kuishaChange is coming
Huelewi hata unachokiandika. Rudi MMU hili jukwaa ni oversize kwako.Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe