Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
100 percent facts
 
Mbowe kala njama afie jela arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama professor Lipumba
 
Tunatofautiana.
Wengine tupo tu kama wanyama wa Serengeti, tukishakula chakula na kushiba, tukashushia na juice tunajua maisha ndio tushayapatia wakati wengine wana uhakika wa kipato tena halali mara kumi kutuzidi pamoja na so called starehe ambazo wengi hatuwezi kuzipata lakini wanachagua ni bora kuwa gereani kuliko kuwa uraiani huku wakiona mateso yakiendelezwa kwa wengi kutoka kwa idiots wachache!
 
Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Babu zako wangekuwa na mentality kama hiyo yako mpaka leo ungekuwa unavuna pamba huku ukichapwa mijeledi na wazungu.
 
Huyu jamaa Mungu ampe maisha marefu sana. .
Atampa Inshallah
Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Stupid🥺😡😡😡😡😡
 
Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .

Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Sasa mbona ibirisi wa ccm wanaipigania Chauma ubwabwa? Wanampigania Mbowe arejee chadema kwa njia haramu za kishetani
 
Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Umeandika Kiboya sana!
 
Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .

Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe

Kwa hivyo sgr, umeme ilikuwa kwa ajili ya familia ya magufuli?
 
Mbowe kala njama afie jela arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama professor Lipumba

Mbowe hawezi kurejea CHADEMA, alipigwa Chini kwenye uchaguzi Dunia yote ikiangalia.
 
Kwa hivyo sgr, umeme ilikuwa kwa ajili ya familia ya magufuli?
Hakuna kiumbe ambacho sio kibinafsi ila inatakiwa iwe na kipimo sasa huyo mdaua anashindwa kutofautisha hilom
 
Back
Top Bottom