Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa?
 

View: https://www.youtube.com/shorts/6vIzZM_ynXQ?t=30&feature=share
 
waache wenyewe wanaamini kuwa TUNDU LISSU ndyo Anointed Messiah wao, kupitia yeye TANZANIA itakuwa ni Paradiso (detergent brain washed), atawatua mizigo mizito waliyojibebesha hapa duniani
 
waache wenyewe wanaamini kuwa TUNDU LISSU ndyo Anointed Messiah wao, kupitia yeye TANZANIA itakuwa ni Paradiso (detergent brain washed), atawatua mizigo mizito waliyojibebesha hapa duniani
Hqkunaga
 
TAL simba wa Africa ambaye hatishimwi na jera na risasi wala cheo mtu kama huyu hapatikani mara nyingi kwenye karne
 
Mabadiliko ya kweli hutokea kwa watu wachache walioitwa kujitoa mhanga. Japo wanaweza kupoteza maisha na hata kupitia mateso makubwa (mf. Mandela, Steve Biko, Ken Sarowiwa) lakini daima hukumbukwa vyema na historia. Legacy!

Isitoshe, when it is said and done; hata hao watesaji nao huishia kufa kwa mateso ya nafsi na hulka mbaya na hatimaye historia huwaparura kweli kweli. Ndiyo maana viongozi wenye maono hupambana sana ili kuacha legacy nzuri na kukumbukwa vyema na historia ya vizazi vijavyo.

Ama kwa vile wewe ni mwanamke au una uelewa mdogo sana wa hekaheka na harakati za kuleta mabadiliko ndiyo maana umetoa comment ya aina hii. Comment hii inakuaibisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…