Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi hata haijafunguliwa mumeshaanza kupata hedhi, tulieni, after all kesi haiwahusu nyie wala serikali yenu mbona mnajinyea nyea?Robert Amsterdam huyo tapeli wakili wa Lisu.
Hana lolote tapeli wa mjini huyo
Muulize kesi ya Bob Wine wa Uganda mpinzani mkubwa kuliko Tundu Lisu hiyo.kesi alifika nayo wapi
Alikula pesa za Bob Wine na wafadhili wa Bob Wine mpinzani mkuu wa Museveni akapotea mitini kwa kesi ambayo alijua kabisa hawezi shinda
Hapo anataka kumtumia Tundu Lisu apige pesa kupitia wafadhili wa Lisu kwa kisingizio cha Legal fees au matapeli wawili wamekutana wa Sheria Lisu na Amsterdam wamepanga case wafadhili watoe pesa za legal fees wagawane
Katika mawakili matapeli kama wa Nigeria Huyo Amsterdam ni mmojawao
"Wengine" ndio kina nani? Wazungu?😌..kesi ya Bob Wine ingekuwa na nguvu ingechukuliwa na mawakili wengine.
Uganda si nchi ya wenzetu? Bobi Wine amekosa Wakili?..kwenye nchi za wenzetu kesi ya madai ikiwa na mashiko huwezi kukosa wakili wa kuitetea.
Vipi safari hii watamchangia? Au waunga mkono wa upinde wanamdhamini ?🤣🤣🤣🤣Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
View attachment 3118712
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa kampuni mama ya simu za mkononi ya Tigo kwa pamoja na serikali ya Tanzania kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kutoa uhai wake.
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.
View attachment 3118713
Septemba 7, 2017 Lissu alishambuliwa kwa risasi zipatazo 16 aliporeja kutoka kwenye kikao cha Bunge, akiwa katika uwanja wa makazi yake na viongozi wengine eneo la Area D, jijini Dodoma, na baadaye kufanyiwa upasuaji mara 25 nchini Kenya na Ubelgiji.
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema.
"Wengine" ndio kina nani? Wazungu?😌
Uganda si nchi ya wenzetu? Bobi Wine amekosa Wakili?
Mlenga shabaha anayekosa risasi 16 tena at close range sijui ni WA jeshi ganiMakamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
View attachment 3118712
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa kampuni mama ya simu za mkononi ya Tigo kwa pamoja na serikali ya Tanzania kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kutoa uhai wake.
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.
View attachment 3118713
Septemba 7, 2017 Lissu alishambuliwa kwa risasi zipatazo 16 aliporeja kutoka kwenye kikao cha Bunge, akiwa katika uwanja wa makazi yake na viongozi wengine eneo la Area D, jijini Dodoma, na baadaye kufanyiwa upasuaji mara 25 nchini Kenya na Ubelgiji.
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema.
Tupo nyakati tofauti kabisa.
It is almost Impossible to have TL and Mwl.Nyerere on the same pedestal. Haiwezekani na mda Utaongea. Ikumbukwe, Nyerere hakuwa kuwa msaliti ama puppet wa Wa kaburu.
What Amsterdam is doing, is medding in our Election process. Joan Wicken na Easton hawakuwa wakiingilia michakato yetu ya Uchaguzi
Na Kesi hii, mbali ya madai ya Tundu Lissu, ina lengo la kuingilia chaguzi za Uraisi 2025.
Sema hanyoagi nywele au ilitaka kusema nini.....WAkili hata hanyoagi haha.
Nawatakia ushindi
Wakili wake alikuwa huyo huyo tapeli AmsterdamUganda si nchi ya wenzetu? Bobi Wine amekosa Wakili?
Awali ya yote hayo☝🏿 Nimekuuliza...Uganda ni wenzetu, lakini si kati ya nchi ambayo mahakama zake ziko huru.
..nchi yoyote ile yenye mahakama zenye uhuru, mhanga mwenye madai yenye ushahidi unaojitosheleza, hawezi kukosa mawakili wa kusimamia kesi yake.
Nani bottom kati Yao?View attachment 3118886
Cc: Mtandao wa Mawasiliano wa simu wa tigo, Chama cha Mapinduzi na Msemaji mkuu wa Serikali. Sielewi kwanini wamekuwa mentioned.
Yajayo tunayasubiri.
Mara hii, kbibi cha kizimkazi macho ya kuregea, yatadondoka,Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
View attachment 3118712
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa kampuni mama ya simu za mkononi ya Tigo kwa pamoja na serikali ya Tanzania kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kutoa uhai wake.
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.
View attachment 3118713
Septemba 7, 2017 Lissu alishambuliwa kwa risasi zipatazo 16 aliporeja kutoka kwenye kikao cha Bunge, akiwa katika uwanja wa makazi yake na viongozi wengine eneo la Area D, jijini Dodoma, na baadaye kufanyiwa upasuaji mara 25 nchini Kenya na Ubelgiji.
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema.
Awali ya yote hayo☝🏿 Nimekuuliza.
"Wengine" ndio kina nani?
Manake ulivyoandika ni kama unasema, Uganda hawana mawakili,(wakizungu)na kwa muktadha uliopo, ni kwamba Lissu ana wakili bora, "Mzungu"
"Wengine" ndio kina nani hao?
Wakili wake alikuwa huyo huyo tapeli Amsterdam
Kesi kufunguliwa nje sio Big deal hata huko nje kuna mawakili matapeli wa kutupwa
Bob Wine Uganda alidhani akitafuta mzungu wakili yataenda kumbe mpiga dili tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.." wengine " nimemaanisha nchi zenye mfumo wa mahakama ulio HURU.
Magufuri yuko wapi???Mungu aliamua ugomvi kwa huyo muaji.Kesi yake ya kumshitaki hayati magufuli mahakama ya kimataifa illishia wapi Amsterdam nae ni kama mawakili wa kisutu tu kwa vile yeye ni mweupe tu tetezi la mas
Picha linaanza sterling anafia kwenye maua.
Sana sana akifanikiwa ni kwa wafanyakazi tu.
Ila kuikamua pesa Tigo ajiandae kupanda kilima kikali.