Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

Halafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura

Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha

Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa

Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼
2019 mlipata 100% mlifanya nini?
Mbona mnalilia lia sana na CHADEMA. Jitangazeni mmeshinda kwa 100% then uje hapa uendelee kukopa bando
 
Halafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura

Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha

Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa

Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼
Ww inakuuma Nini? Isotoshe hata wakijiandikisha bado ccm ni majizi ya kura
 
Halafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura

Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha

Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa

Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼
Wakati watu wako busy na familia zao, wewe uko busy kuposti jambo la maslahi Binafsi ya Tundu Lissu!

UJINGA NI MZIGO
 
Sio Lissu tu, upinzani wa bongo waganga njaa tu wote wapo hapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.Imagine uchaguzi next year lakini upinzani hawana sera yoyote ya kuuza kwa wananchi. Upinzani wa kweli utakuja bongo siku hawawabinafsi na waganga njaa wakiondoka wote.
Nitajie wa chama ambacho sio kwa ajili ya matumbo na familia zao. Anzia na Mwigulu na yule mtoto wake anayekula dola.
 
Sema kakutana na tapeli wa kimataifa wa sheria
Ngoja huyo tapeli wa kimataifa awanyooshe mpaka mtoke kamasi wauaji, mahayawani na mashetani wakubwa nyie...
================================================

Mjue Wakili wa kimataifa Robert "Bob" Ross Amsterdam👇🏻👇🏻

Robert "Bob" Ross Amsterdam
(born January 1956) is a Canadian international lawyer of the law firm Amsterdam & Partners, with offices in Washington, D.C., and London.

Major cases

Some of his most well known cases were related to early work in Africa and Latin America. Amsterdam won international litigation on behalf of the Four Seasons Hotel and Resort Group in Venezuela. He also worked the well known Gutierrez case in Guatemala, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes. Amsterdam would go on to represent political prisoners such as Eligio Cedeño in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el-Rufai, and democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.

Yukos case

In 2003, Amsterdam was retained by the Russian company Yukos-Group MENATEP to defend former CEO Mikhail Khodorkovsky...

In 2005, Khodorkovsky was sentenced to eight years in jail. On the night of the verdict, Amsterdam was accosted by plainclothes security agents in the middle of the night at his hotel room, who attempted to arrest him before he could call his colleagues in the media.[13] In the years since leaving Russia, Amsterdam engaged in a media campaign for the Yukos Group-MENATEP and Khodorkovsky cases.

Thaksin Shinawatra

Further information: 2010 Thai political protests and 2010 Thai military crackdown

Robert Amsterdam was hired in May 2010 by former Thai Prime Minister Thaksin Shinawatra to serve as international lawyer and adviser to the defence counsel of the "Red Shirts," formal name the United Front for Democracy Against Dictatorship (UDD)...

In 2010, Robert Amsterdam "urged the international community not to tolerate the government's violent crackdown on self-proclaimed peaceful protesters", and published a list of alleged human rights and international law violations committed during what he called the "Bangkok massacres".

During the 2013–14 Thai political crisis, Amsterdam delivered a speech to a massive Red Shirt rally in Bangkok. Former Democrat Party member and anti-government protest leader Suthep Thaugsuban criticized Amsterdam for it, to which Amsterdam responded naming Suthep as a Thai Taliban.[18]

Kim Dotcom

He is now part of the legal team representing Kim Dotcom, the Internet entrepreneur in the Megaupload legal case.

Republic of Turkey

Robert Amsterdam and firm were involved in efforts to sue the Gülen movement as part of a wider effort by the Turkish government to suppress it..

Russia-Trump

According to Robert Amsterdam in an April 2017 article in The Independent, there was "no question" that the FBI and United States intelligence agencies had information about Russian entities that had financial relationships with Trump prior to the 2016 United States elections.
 
Tupo nyakati tofauti kabisa.

It is almost Impossible to have TL and Mwl.Nyerere on the same pedestal. Haiwezekani na mda Utaongea. Ikumbukwe, Nyerere hakuwa kuwa msaliti ama puppet wa Wa kaburu.

What Amsterdam is doing, is medding in our Election process. Joan Wicken na Easton hawakuwa wakiingilia michakato yetu ya Uchaguzi

Na Kesi hii, mbali ya madai ya Tundu Lissu, ina lengo la kuingilia chaguzi za Uraisi 2025.
Wewe mpuuzi kweli....

Unawaza uchaguzi tu, badala ya kufikiri juu ya maumivu ya mwili (ulemavu wa kudumu ktk mwili wake) na nafsi yake (psychological trauma) mliomsababishia huyu ndugu, familia yake, rafiki zake, chama chake na sisi rafiki na wapenzi wake...

Leo anahangaika kutafuta haki yake mnajaribu kumwita majina kama "msaliti?"..

Mtakwenda kuthibitisha usaliti wake huko kwenye mahakama za nje ambazo Jaji hawezi kupigiwa simu na Samia apindishe maamuzi ya haki...

Wasaliti wa nchi na taifa hili ni nyie ma - CCM, wezi na mafisadi wakubwa. Mmeingiza nchi kwenye shida ya madeni na mikataba mibovu ya kuiuza kwa mataifa ya kigeni....

Tundu Lissu anapowapa watu ufahamu na uelewa kwa kuufunua ukweli huu kwa watu walio gizani, ndipo ma - CCM yanafura kwa hasira na kuanza kumwita msaliti...

Wasaliti wa taifa na nchi hii in fact ni hawa watawala wa CCM wezi na mafisadi...
 
Back
Top Bottom