Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
JamiiForums kwa namna mnavyomuacha huyu mtu anavyoandika upuuzi anaishushia forum hadhi sanaHalafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura
Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha
Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa
Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼
Ni vema moderation kwenye post za namna hii ili JF ibaki na hadhi inayostahili