Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
UWT hamjawahi kumiliki akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWT unategemea wajadili nini?Mijitu mijinga inajadili mambo binafsi ya watu
Acha mihemko jadili hoja!!UWT unategemea wajadili nini?
We unajadili nini hapa si unanijadili mimi?Mijitu mijinga inajadili mambo binafsi ya watu
Lisu bwege na huyo wakili wake tapeli Amsterdam wote mabwege wathubutu kuhusisha Tigo kwenye hiyo kesi popote mahakama yeyote ndani ya nchi au nje watakunya bila kuchamba wapeleke popote Lisu bwege na huyo wakili wake Amsterdam bwegeTundu Lissu, wapeleke mchakamchaka.
Umenikumbusha CCM kwenda maporini wakati wa kupiga kuraMakamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam...
Bwege ni wewe mtekaji na muuaji, unae Pinga hoja Kwa kuondoa MAlSHA YA WATANZANIALisu bwege na huyo wakili wake tapeli Amsterdam wote mabwege wathubutu kuhusisha Tigo kwenye hiyo kesi popote mahakama yeyote ndani ya nchi au nje watakunya bila kuchamba wapeleke popote Lisu bwege na huyo wakili wake Amsterdam bwege
Hoja gani zaidi ya ujinga hapo?Acha mihemko jadili hoja!!
Huyo mwanasheria wa mashoga mwenyewe shoga ni tapeli tu. Watashirikiana na Lissu kupiga hela za wapenzi wa mapenzzi ya jinsia moja zikiwepo serikali au mashirika ya nchi za magharibi.Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa kampuni mama ya simu za mkononi ya Tigo kwa pamoja na serikali ya Tanzania kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kutoa uhai wake.
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.
Septemba 7, 2017 Lissu alishambuliwa kwa risasi zipatazo 16 aliporeja kutoka kwenye kikao cha Bunge, akiwa katika uwanja wa makazi yake na viongozi wengine eneo la Area D, jijini Dodoma, na baadaye kufanyiwa upasuaji mara 25 nchini Kenya na Ubelgiji.
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema.
True we have different levels of understandingMlenga shabaha anayekosa risasi 16 tena at close range sijui ni WA jeshi ganitt
Sio Lissu tu, upinzani wa bongo waganga njaa tu wote wapo hapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.Imagine uchaguzi next year lakini upinzani hawana sera yoyote ya kuuza kwa wananchi. Upinzani wa kweli utakuja bongo siku hawawabinafsi na waganga njaa wakiondoka wote.Halafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura
Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha
Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa
Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼
Uhamasishaji kwa niaba yake tumpatie johnthebaptist.Halafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura
Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha
Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa
Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼
JamiiForums kwa namna mnavyomuacha huyu mtu anavyoandika upuuzi anaishushia forum hadhi sanaHalafu CCM ikipata Ushindi wa kishindo Chadema mnalialia kuibiwa Kura
Uchaguzi ni michakato unaoanzia kwa wananchi kujiandikisha
Sasa Wakati huu muhimu ndio Tundu Lisu amejikita kwenye kesi ya TIGO Tanzania PLC ambayo yeye bado hausiki Moja kwa Moja kwa sasa
Upinzani wa Tanzania umekaa kimchongo sana 🐼