Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

Tunawaonyesha udhaifu wenu wa kutegemea mtu kama Mungu wenu
Mzee kaangalie makaburi halafu Mungu hadhihakiwi juu ya kifo cha mwingine jitafakari umetenda wema gani hapa ulimwenguni wewe ni mfu pia uliyebakiza muda mchache hapa duniani unapita tu utaishi maisha marefu kaburini wacha kukariri upuuzi!
 
Hivi na wale walionaswa sauti, kina Nape et al, wana wakili wao, wakuwasaidia kuwashitaki waliovujisha sauti zao-maongezi yao ya simu?
======
Laigwanaan Kakenua meno hapo, na huyo beberu anaonekana akisema 'Lissu you will pay' ikiwa ina maana akishika Uongozi ama madaraka, atakuwa kipapeti fulani hivi. Yani atawalipa sana kwa madili😌🧐
Ndio zao la siasa ya ujamaa na kujitegemea ilivyowalea
 
Hivi na wale walionaswa sauti, kina Nape et al, wana wakili wao, wakuwasaidia kuwashitaki waliovujisha sauti zao-maongezi yao ya simu?
======
Laigwanaan Kakenua meno hapo, na huyo beberu anaonekana akisema 'Lissu you will pay' ikiwa ina maana akishika Uongozi ama madaraka, atakuwa kipapeti fulani hivi. Yani atawalipa sana kwa madili😌🧐
Acha wivu.
 
View attachment 3118886
Cc: Mtandao wa Mawasiliano wa simu wa tigo, Chama cha Mapinduzi na Msemaji mkuu wa Serikali. Sielewi kwanini wamekuwa mentioned.
Yajayo tunayasubiri.
Kesi ndogo sana hiyo

Mumiliki wa tigo ni bilionea Rostam Aziz mwana CCM mwenye pesa kama zote za kigeni haogopi kesi yeyote popote duniani

Mwambieni huyo Amsterdam akithubutu kutaja Tigo kwenye hiyo kesi ajiandae kufililsiwa

Huyo Amsterdam bwege tu athubutu kuunganisha Tigo kwenye hiyo kesi aone mziki wake shenzi type lofa mkubwa huyo

Narudia athubutu kuunganisha Tigo kwenye hiyo kesi aonyeshwe cha mtema kuni
 
Kesi ndogo sana hiyo

Mumiliki wa tigo ni bilionea Rostam Aziz.mwana CCM mwenye pesa kama zote za kigeni

Mwambieni huyo Amsterdam akithubutu kutaja Tigo kwenye hiyo kesi ajiandae kufililsiwa

Huyo Amsterdam bwege tu athubutu kuunganisha Tigo kwenye hiyo kesi aone mziki wake shenzi type lofa mkubwa huyo

Narudia athubutu kuunganisha Tigo kwenye hiyo kesi aonyeshwe cha mtema kuni
Yetu macho.
 
Yetu macho.
Who is Amsterdam wakili wa huyo Lisu anatishia nyau kampuni kama Tigo

Athubutu aone cha mtema kuni

Kufungua kesi ya private company ya kimataifa ulaya ni sawa tu na kufungua kesi mahakama ya mwanzo kisutu tu
 
Yetu macho
Kufungua kesi ya private company ya kimataifa ulaya ni sawa tu na kufungua kesi mahakama ya mwanzo kisutu tu

Sio.big deal

Amsterdam hamna kitu wakili mdogo sana kwenye International courts arena kwa International companies cases
 
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.📌🔨
 
Back
Top Bottom