Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

Kesi hata haijafunguliwa mumeshaanza kupata hedhi, tulieni, after all kesi haiwahusu nyie wala serikali yenu mbona mnajinyea nyea?
 
Vipi safari hii watamchangia? Au waunga mkono wa upinde wanamdhamini ?🀣🀣🀣🀣
 
"Wengine" ndio kina nani? Wazungu?😌

Uganda si nchi ya wenzetu? Bobi Wine amekosa Wakili?

..Uganda ni wenzetu, lakini si kati ya nchi ambayo mahakama zake ziko huru.

..nchi yoyote ile yenye mahakama zenye uhuru, mhanga mwenye madai yenye ushahidi unaojitosheleza, hawezi kukosa mawakili wa kusimamia kesi yake.
 
Mlenga shabaha anayekosa risasi 16 tena at close range sijui ni WA jeshi gani
 
..ina maana waliomshambulia Lissu walikuwa na lengo la kuingilia uchaguzi wa 2020? Ni kina nani? Kwanini SERIKALI / POLISI haiwakamati?
 
..Uganda ni wenzetu, lakini si kati ya nchi ambayo mahakama zake ziko huru.

..nchi yoyote ile yenye mahakama zenye uhuru, mhanga mwenye madai yenye ushahidi unaojitosheleza, hawezi kukosa mawakili wa kusimamia kesi yake.
Awali ya yote hayo☝🏿 Nimekuuliza.

"Wengine" ndio kina nani?

Manake ulivyoandika ni kama unasema, Uganda hawana mawakili,(wakizungu)na kwa muktadha uliopo, ni kwamba Lissu ana wakili bora, "Mzungu"

"Wengine" ndio kina nani hao?
 
Picha linaanza sterling anafia kwenye maua.

Sana sana akifanikiwa ni kwa wafanyakazi tu.

Ila kuikamua pesa Tigo ajiandae kupanda kilima kikali.
 
Mara hii, kbibi cha kizimkazi macho ya kuregea, yatadondoka,
 
Awali ya yote hayo☝🏿 Nimekuuliza.

"Wengine" ndio kina nani?

Manake ulivyoandika ni kama unasema, Uganda hawana mawakili,(wakizungu)na kwa muktadha uliopo, ni kwamba Lissu ana wakili bora, "Mzungu"

"Wengine" ndio kina nani hao?

.." wengine " nimemaanisha nchi zenye mfumo wa mahakama ulio HURU.
 
Wakili wake alikuwa huyo huyo tapeli Amsterdam

Kesi kufunguliwa nje sio Big deal hata huko nje kuna mawakili matapeli wa kutupwa

Bob Wine Uganda alidhani akitafuta mzungu wakili yataenda kumbe mpiga dili tu

..hata kesi kufunguliwa na wakili Mzungu sio big deal.

..ushahidi wenye mashiko ndio big deal ktk nchi zenye mahakama zilizo huru.

..kama ushahidi wa Bob Wine ulikuwa mzito na wenye mashiko basi hawezi kukosa wakili mahiri wa kumtetea.
 
.." wengine " nimemaanisha nchi zenye mfumo wa mahakama ulio HURU.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una ruka ruka tu.

Haya basi Ni nchi zipi hizo?
 
Picha linaanza sterling anafia kwenye maua.

Sana sana akifanikiwa ni kwa wafanyakazi tu.

Ila kuikamua pesa Tigo ajiandae kupanda kilima kikali.

..Eric Kabendera naye ameanza kuinyatia kampuni ya Voda. Sijui atafika wapi.

..jambo la msingi la kujiuliza ni kwanini Tundu Lissu hapewi HAKI yake? Kwanini POLISI wameshindwa kuwakamata waliojaribu kumuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…