Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

JamiiForums kwa namna mnavyomuacha huyu mtu anavyoandika upuuzi anaishushia forum hadhi sana
Ni vema moderation kwenye post za namna hii ili JF ibaki na hadhi inayostahili
 
Ustaarabu imeshawashinda waTanzania, hivi suala la kufanya uhamasishaji kwa ajili ya wapiga kura ni jukumu la vyama vya siasa au tume iliyoandaa uchaguzi?
Au mmeshasahu pesa zilizopotea kwenye suala la katiba mpya ya Warioba alafu vyama ikaviteka kwa namna hii ya kufanya harmonization?
 
Jamaa una gubu kama la mama mkwe. Kama unampenda Lissu mplekee akuwashiee moto.
 
Wewe ulitakaje?
Yote ni maisha yake, kumbuka kesi hii ndio mwanzo wa kuwajua rasmi 'wauaji' wake
 
Kuna mtu anayehitaji upinzani Tanzania?
 
Wewe una siasa za rejareja sana. Unaandika upuuzi mwingi sana humu. Unadhalilisha jina la Yohana Mbatizaji kwa kuandika vitu vinavyoashiria wewe kuwa sadist na psychopath.
 

..Ccm wenyewe hawana njaa?

..Wameshibaje, ktk umasikini huu wa Watanzania?
 
Toka lini CHADEMA ni chama Cha TUndulisu

naamini CHADEMA ni taasisi
ametumia chadema kama platform ya kuomba kuchangiwa mambo mbalimbali, na hivi sasa anatumia chadema kufanya kila kitu chake binafsi kutumia chadema...

hili liko wazi. Hakuna namna omba omba anaweza kusimama pekeyake πŸ’
 
All are equally important. Ilaumu CCM ambayo inaleta mavi kama haya kukataa katiba bora na tume huru ya uchaguzi
 
Utakuwa na tatizo sehemu wewe siyo bure, Lisu aache kushughulikia maslahi yake ahangaike na huu uchaguzi wa kijinga ambao tayari umetekwa na TAMISEMI
 
JamiiForums kwa namna mnavyomuacha huyu mtu anavyoandika upuuzi anaishushia forum hadhi sana
Ni vema moderation kwenye post za namna hii ili JF ibaki na hadhi inayostahili
Wewe ni Mganga wa Kienyeji Siasani imekuleta Njaa tu

Angalia Zitto Kabwe na Addo Shaibu wanavyofanya siasa za kisayansi

Nyie mmebaki na siasa za kizamani za kujificha kwenye Novena Msimbazi center

Kuna Wakati mchungaji Msigwa anakuwa Sahihi anaposema Chadema ni Chama Cha family ya Freeman Mbowe kwa sababu hamko serious kabisa

Bure kabisa we mandondo uliyechangamka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…