Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
DAKIKA 31:49-37:50

Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru na pamoja na Lissu mwenyewe kulipwa stahiki.

Wakati haya yakienedela tulimsikia Tundu Lissu akiwa kwenye operesheni +255 akifurusha matusi kwa Rais Samia na akijitenga na maridhiano.

Naamini suala la hizo tuhuma za Makonda lilikuwemo kwenye items ambazo zilikuwa bado hazijatatuliwa. Kitendo cha Lissu kuanza kufurusha matusi na kubeza maridhiano ndicho sasa Samia kawajibu.

Kawaletea nunda muhangaike naye. Hata mimi simpendi na simkubali kabisa Makonda, ila kwa dharau zenu, wacha awape kichefuchefu.
 
Kwanini wamjadili mwenezi wa CCM badala ya kumjadili mwenezi wa chama chao? Kwanza huu sasa unakuwa ndiyo mtaji wa CHADEMA kuweza kupata point kwa wananchi kwa vile CCM ina mwenezi ambaye ni murderer cum blackmailer

All in all SAMIA kabugi sana kwenye uteuzi wa Bashite kuwa mwenezi wa CCM. Haya makosa hayawezi kukiacha CCM salama.

Kama ni kutafuta TURUFU ya Lake Zone bora angeenda na watu kama Luhaga Mpina, Mzee wa Samaki kwa rula, siyo kwa nafasi ya usemaji bali uwaziri ili kutafuta uungwaji na Sukuma Gang
 
Kwa kusubiri matukio hatuja
comhiclipartblgvp.jpg

Labda tumelogwa na CCM
 
Kwanini wamjadili mwenezi wa CCM badala ya kumjadili mwenezi wa chama chao? Kwanza huu sasa unakuwa ndiyo mtaji wa CHADEMA kuweza kupata point kwa wananchi kwa vile CCM ina mwenezi ambaye ni murderer cum blackmailer

All in all SAMIA kabugi sana kwenye uteuzi wa Bashite kuwa mwenezi wa CCM. Haya makosa hayawezi kukiacha CCM salama.

Kama ni kutafuta TURUFU ya Lake Zone bora angeenda na watu kama Luhaga Mpina, Mzee wa Samaki kwa rula, siyo kwa nafasi ya usemaji bali uwaziri ili kutafuta uungwaji na Sukuma Gang
Mnahangaika sana na Genge ambalo halipo na halijawahi kutokea Tanzania.

Kuna kabila la Wasukuma. Hayo ya magenge mmejitungia na mmeyatoa kwenye vipindi vya tamthilia za Ugaibuni, Ati kabugi!

Kabugi wapi wakati kesha washtukia nyie vibaraka mawakala na mamluki wa mabeberu kuwa hakuna genge linalomzunguka?

SSH kaamua kuwazibia masikio nyie wapuuzi, mmemdanganya kwa muda mrefu na propaganda zenu za kujenga Uhasama na Uaduai na siada za utengano, kwamba, SSH amezungukwa na kundi lisilomtaka, athari zake NChi imepigwa kisawasawa(kitu mlichokitaka) isitoshe, mmeshaambiwa, hivyo visasi vyenu binafsi havipo ndani ya CCM, bado mnalazimisha! Ati Murderer. Utamwita nini Mfalme Chalesi na Ufalme wake wa wadhalimu ambao haujawahi kutokea hapa Duniani?

konyo konyo kabisa
 
DAKIKA 31:49-37:50

Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru na pamoja na Lissu mwenyewe kulipwa stahiki.

Wakati haya yakienedela tulimsikia Tundu Lissu akiwa kwenye operesheni +255 akifurusha matusi kwa Rais Samia na akijitenga na maridhiano.

Naamini suala la hizo tuhuma za Makonda lilikuwemo kwenye items ambazo zilikuwa bado hazijatatuliwa. Kitendo cha Lissu kuanza kufurusha matusi na kubeza maridhiano ndicho sasa Samia kawajibu.

Kawaletea nunda muhangaike naye. Hata mimi simpendi na simkubali kabisa Makonda, ila kwa dharau zenu, wacha awape kichefuchefu.

Kwani hayo maridhiano yalikuwa ni fadhila au hongo, kwa CHADEMA wasikemee chochote kinachofanywa na serikali kama hakina manufaa kwa wananchi?

Uteuzi wa Makonda, na wengine wa aina yake ni ishara kamili kabisa ya kuonyesha jinsi CCM ilivyo na hali mbovu.
Teuzi zote za wakati huu, huko ndani ya CCM na serikalini kwenyewe zinaonyesha ni hatua za kutapatapa; zenye lengo la kubahatisha tu kama zitasaidia kuliokoa jahazi linalozama.
 
DAKIKA 31:49-37:50

Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru na pamoja na Lissu mwenyewe kulipwa stahiki.

Wakati haya yakienedela tulimsikia Tundu Lissu akiwa kwenye operesheni +255 akifurusha matusi kwa Rais Samia na akijitenga na maridhiano.

Naamini suala la hizo tuhuma za Makonda lilikuwemo kwenye items ambazo zilikuwa bado hazijatatuliwa. Kitendo cha Lissu kuanza kufurusha matusi na kubeza maridhiano ndicho sasa Samia kawajibu.

Kawaletea nunda muhangaike naye. Hata mimi simpendi na simkubali kabisa Makonda, ila kwa dharau zenu, wacha awape kichefuchefu.

Ungejenga hoja tungeijadili kouchambuzi.

Lakini hapa umeweka umbea
 
Kwani mwenezi wa CHADEMA ni nani? ingekuwa vyema wamwongelee mwenezi wao badala ya kuzidi kutupa airtime sisi CCM.
 
Back
Top Bottom