Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

Malonda kaja kuwanyoosha,aaahaa

Mpka mshasahau inshu ya bandari

..bila mamlaka ya kukamata na kuweka watu mahabusu Makonda hawezi kumnyoosha yeyote.

..Makonda is not intelligent hawezi kushindana kwa hoja kwenye majukwaa ya siasa.

..lakini pia madhambi anayotuhumiwa nayo Makonda, Mama anaweza kuwa amepata ajenda wapinzani.
 
DAKIKA 31:49-37:50

Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru na pamoja na Lissu mwenyewe kulipwa stahiki.

Wakati haya yakienedela tulimsikia Tundu Lissu akiwa kwenye operesheni +255 akifurusha matusi kwa Rais Samia na akijitenga na maridhiano.

Naamini suala la hizo tuhuma za Makonda lilikuwemo kwenye items ambazo zilikuwa bado hazijatatuliwa. Kitendo cha Lissu kuanza kufurusha matusi na kubeza maridhiano ndicho sasa Samia kawajibu.

Kawaletea nunda muhangaike naye. Hata mimi simpendi na simkubali kabisa Makonda, ila kwa dharau zenu, wacha awape kichefuchefu.

Lissu lazima adhibitiwe, la sivyo atakigawa chama. Mdomo wa Lissu hauna proof reading wala spell checker
 
DAKIKA 31:49-37:50

Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru na pamoja na Lissu mwenyewe kulipwa stahiki.

Wakati haya yakienedela tulimsikia Tundu Lissu akiwa kwenye operesheni +255 akifurusha matusi kwa Rais Samia na akijitenga na maridhiano.

Naamini suala la hizo tuhuma za Makonda lilikuwemo kwenye items ambazo zilikuwa bado hazijatatuliwa. Kitendo cha Lissu kuanza kufurusha matusi na kubeza maridhiano ndicho sasa Samia kawajibu.

Kawaletea nunda muhangaike naye. Hata mimi simpendi na simkubali kabisa Makonda, ila kwa dharau zenu, wacha awape kichefuchefu.

Ni wazi Makonda hakustahili kile cheo na hata kuwa RC Arusha hastahili.
 
Back
Top Bottom