Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

Weakness ya adui ni mtaji kwenu. Hakuna haja ya kupinga uteuzi
 
Nyambafu zake,anatakiwa ajifunze kumind business za chama chao.Yeye kasahau walivyomuweka Lowassa agombee urais kupitia chadema .Mtu waliemuita fisadi miaka yote.
Pengine anahoja. Kwanini amelaani?
 
Samia kafanya vizuri sana,hawa mbwa hawana shukrani kabisa
 
Saccos mmepuuzwa, kujipendekeza kote kule maridhiano uchwara ndio mmeona shubiri yake sasa.
 
Weakness ya adui ni mtaji kwenu. Hakuna haja ya kupinga uteuzi
Sina hakika kama kuna yeyote anapinga uteuzi.

Uteuzi wa aina ile ni faraja kwa upinzani, labda washindwe tu wenyewe kutumia fursa hiyo.. Makonda haongezi chochote chenye thamani ndani ya CCM, mbali ya kuwa nuksi tu kwa chama hicho.
 
Makonda hana uwezo leo wa kufanya lolote kwa Chadema , bila Magufuli huyu hana lolote lile
 
Kama Bashite alishiriki kutaka kumuua atakufa tu kama mwendazake. Mark my words wananngu.
 
Natamani hya yatokee
 
Sina hakika kama kuna yeyote anapinga uteuzi.

Uteuzi wa aina ile ni faraja kwa upinzani, labda washindwe tu wenyewe kutumia fursa hiyo.. Makonda haongezi chochote chenye thamani ndani ya CCM, mbali ya kuwa nuksi tu kwa chama hicho.
Kitendo cha kum discuss tu ujuwe kuna kitu anacho dhidi ya wapinzani. Angekuwa hana basi mungekaa kimya
 
Hakuna watu mpaka mchukue mtu alijefoji vyeti?
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
 
Malonda kaja kuwanyoosha,aaahaa

Mpka mshasahau inshu ya bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…