Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

Malonda kaja kuwanyoosha,aaahaa

Mpka mshasahau inshu ya bandari

..bila mamlaka ya kukamata na kuweka watu mahabusu Makonda hawezi kumnyoosha yeyote.

..Makonda is not intelligent hawezi kushindana kwa hoja kwenye majukwaa ya siasa.

..lakini pia madhambi anayotuhumiwa nayo Makonda, Mama anaweza kuwa amepata ajenda wapinzani.
 
Lissu lazima adhibitiwe, la sivyo atakigawa chama. Mdomo wa Lissu hauna proof reading wala spell checker
 
Ni wazi Makonda hakustahili kile cheo na hata kuwa RC Arusha hastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…