Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483

Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA



Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Jimbo Bunda mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. Leo Jumatano 12/08/2020.

#NiYeye2020
#SasaBasi #PeoplesPower
#NoHateNoFear
 
kweli nchi hii watu wamechoka aisee!
Watu wanaenda kumshangaa Mtu anayetaka kubadili wimbo wa Taifa kwa manufaa yake. Wakimaliza kumshangaa watarudi tena? Subiri kampeini. Nawaza tu makamanda. Bila vionjo kama hivi uzi haunogi. Ha ha haaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…