Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

View attachment 1535001
Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA
View attachment 1535013
View attachment 1535003View attachment 1535004View attachment 1535005View attachment 1535007View attachment 1535011View attachment 1535008View attachment 1535010

Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Jimbo Bunda mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. Leo Jumatano 12/08/2020.

#NiYeye2020
#SasaBasi #PeoplesPower
#NoHateNoFear
Bwashee johnthebaptist unaitwa huku uje uone Chadema ilivyokufa!
 
Hata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??
Kumbuka 2015 memo alibebwa waliombeba waliamini meko akishinda atawakumbuka matokeo yake akawabwaga jiulize

Polepole, bashiru nk wanauzoefu upi wa figisu za uchaguzi mkuu, ukiacha kina nape, makamba Jr

Watch out unaenda kushuhudikushuhudia kupatwa kwa magu
 
View attachment 1535001
Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA
View attachment 1535013
View attachment 1535003View attachment 1535004View attachment 1535005View attachment 1535007View attachment 1535011View attachment 1535008View attachment 1535010

Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Jimbo Bunda mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. Leo Jumatano 12/08/2020.

#NiYeye2020
#SasaBasi #PeoplesPower
#NoHateNoFear
Kikubwa awe mstaarabu, apige sera, ashawishi watu wampigie kura sio kuomba midaharo.
 
Hata mwaka 2015 ilikuwa hivi hivi lakini makamanda tulishindwa. je tulikosea wapi??

Mwaka 2015 alikuwa Liwassa. Alipoibiwa urais akaamua yaishe.

Mwaka 2020 ni TL. Akiibiwa urais hataweza kukltutuliza.

Omba uwepo Hai ushuhidie.
 
Kuna karata moja inatumiwa na wenyewe inaitwa abrakadabra.......jamaa wana mbinu nyingi huwezi washinda
Kama haiwezekani kuwashinda kwanini wapinzani wanaingia kwenye vinyang'anyiro vya uchaguzi?
 
Chadema imekufa. Kafie huko chato

Swissme
tenor (1).gif
 
Wahenga tujikumbushe mafuriko ya chadema 2015

View attachment 1535058
Na kauli mbiu ulipotupo😂😂😂😂😂
Lakini kipindi hiki wapinzani hawakupitia kipindi kigumu kama sasa kama unakumbuka slaa alizunguka nchi nzima kukijenga chama kukosoa serikali
Nachokiona Mimi lisu ananguvu kubwa ya ushawishi tofauti pengine Na CCM walivyotegemea
 
Hivi mbona Kama Lissu anavunja Sheria, mbona Magu hakutafuta wadhamini kwa njia hii??

Wajuvi naomba ufafanuzi tafadhali, Maana nimeanza kuelewa Hakimu wa kweli Muda, Jamaa yupo Technical Sanaaaa.
 
Hayo mafuriko mnayoyaita mbona ni yakawaida Sana!! Hata angekuwa Yule dada Ester angeyakusanya hayo na kuzidi?

Kama Dada Ester angekusanya zaidi ya hayo, maana yake Huyu Rais tarajiwa anakazi ya ziada ya kufanya
 
Waandishi wanozunguka wanaopata wasaa wa kushuhudia matukio ya mgombea wetu tumie camera nzuri zinazoweza kuchukua tukio kutoka angani pande zote.
Wakifanya hivyo wataumbuka, ndiyo maana wanaogopa large spatial coverage. Ha ha ha aa!
 
View attachment 1535001
Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA
View attachment 1535013
View attachment 1535003View attachment 1535004View attachment 1535005View attachment 1535007View attachment 1535011View attachment 1535008View attachment 1535010

Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim wakizungumza na Wananchi wa Jimbo Bunda mjini waliofika kwa ajili ya kumdhamini. Leo Jumatano 12/08/2020.

#NiYeye2020
#SasaBasi #PeoplesPower
#NoHateNoFear
Kwahio intelijensia ya "Geshi la Polishi" haijaona chochote huko kweri?
 
Hayo mafuriko mnayoyaita mbona ni yakawaida Sana!! Hata angekuwa Yule dada Ester angeyakusanya hayo na kuzidi?

Kama Dada Ester angekusanya zaidi ya hayo, maana yake Huyu Rais tarajiwa anakazi ya ziada ya kufanya
Kwahio point yako ni nini?
 
Back
Top Bottom