Swali lako, hujafikiri kwa upana wa jambo husikaHiyo ndio sera yake?!
Ni vizuri kutenda meme yaliyo ndani ya mikono yako, maana hujui kesho yako itakuwaje.View attachment 1584078
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Kiongozi anayejali utu na haki, Hakuna mwingine Ni yeyeView attachment 1584078
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Rafiki unavaa miwani kubwa kuliko uso wako.Tangu uanze kujipambanua upo upande gani wafuasi wale hawakulalamikii tena kuhusu muandiko wako na typing errors za kutosha
Wema hauozi na haki inapotawala Mungu huleta neema.Ni vizuri kutenda meme yaliyo ndani ya mikono yako, maana hujui kesho yako itakuwaje.
Yule anayemdharau leo yawezekana kesho ukahitaji msaada kwake. Naamini kabisa huyu mzee atampigia kampeni Lissu.
Wema hauozi na haki inapotawala Mungu huleta neema.
Angekuwa wa upande wenu, ungekua unabwabwaja tu hapaHiyo ndio sera yake?!
Hakika Lissu ndiye rais wa wanyonge! Yule mwingine sijawahisikia historia ya wema wake kokote kule , zaidi nilimfahamu kwa ukali wake wa kuchoma nyavu za wavuvi akiwsa waziri mifugo na uvuvi , Na pia nilimfahamu kwa kufuta leseni za wakandarasi akiwa waziri wa ujenzi! Leo kuna watu wanamwita rais wa wanyonge! Sasa tunataka rais halisi wa wanyonge kwa jina na rangi, huyu si mwingine ni Bwana Carithmatic Leader! Sote Tukampe kura za kishindo October 28 tuwezeshe mabadiliko ya kweli!View attachment 1584078
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Rais wa wanyonge anakusanya 20,000 kutoka kwa kila mnyonge kila mwaka.Hakika Lissu ndiye rais wa wanyonge! Yule mwingine sijawahisikia historia ya wema wake kokote kule , zaidi nilimfahamu kwa ukali wake wa kuchoma nyavu za wavuvi akiwsa waziri mifugo na uvuvi , Na pia nilimfahamu kwa kufuta leseni za wakandarasi akiwa waziri wa ujenzi! Leo kuna watu wanamwita rais wa wanyonge! Sasa tunataka rais halisi wa wanyonge kwa jina na rangi, huyu si mwingine ni Bwana Carithmatic Leader! Sote Tukampe kura za kishindo October 28 tuwezeshe mabadiliko ya kweli!
Tundu Lissu ndio mtetezi wa kweli wa wanyonge
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Kwa hiyo haumtaki Rais anayepinga unyonyaji na unyanyasaji! Unatatizo la kujiona raia mnyonge.Hiyo siyo hisani ya kupata urais,
Hiyo ndio sera yake?!
He is a hero
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Heheee Apiganie zile 1.5trilion zilizoporwa na mzalendo uchwaraMwambie apiganie haki ya wabunge wa Chadema waliibiwa billion 8 kwa michango hewa