Tundu Lissu alianza kupigania haki siku nyingi, aliwahi kumtetea mzee Nyaswi wa Nyamongo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1601357352986.png

Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
 
Tangu uanze kujipambanua upo upande gani wafuasi wale hawakulalamikii tena kuhusu muandiko wako na typing errors za kutosha
 
View attachment 1584078
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Ni vizuri kutenda meme yaliyo ndani ya mikono yako, maana hujui kesho yako itakuwaje.
Yule anayemdharau leo yawezekana kesho ukahitaji msaada kwake. Naamini kabisa huyu mzee atampigia kampeni Lissu.
 
View attachment 1584078
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Kiongozi anayejali utu na haki, Hakuna mwingine Ni yeye
 
View attachment 1584078
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Hakika Lissu ndiye rais wa wanyonge! Yule mwingine sijawahisikia historia ya wema wake kokote kule , zaidi nilimfahamu kwa ukali wake wa kuchoma nyavu za wavuvi akiwsa waziri mifugo na uvuvi , Na pia nilimfahamu kwa kufuta leseni za wakandarasi akiwa waziri wa ujenzi! Leo kuna watu wanamwita rais wa wanyonge! Sasa tunataka rais halisi wa wanyonge kwa jina na rangi, huyu si mwingine ni Bwana Carithmatic Leader! Sote Tukampe kura za kishindo October 28 tuwezeshe mabadiliko ya kweli!
 
Rais wa wanyonge anakusanya 20,000 kutoka kwa kila mnyonge kila mwaka.
 
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
Tundu Lissu ndio mtetezi wa kweli wa wanyonge
 
Back
Top Bottom