Muulize hili: fisiemu filishinda viti vingapi kiuhalisia? Jee JANDONI hawajakoromewa kuhusu UNAFIKUM? Hawajasonywa na kukoromewa MSITHUBUTU kamwe?. Mahasira na tahadhari kibao za nini?
Una ushahidi?Kwanza ungejiuliza kwanini ccm waliiba kura na kutengeneza kura feki
Hapo vipi?View attachment 1624228
Swali la kujiuliza ni moja tu
Mbona wanainchi hawajagoma kuwakataa wabunge teule?
Coz wao ndio walipiga kura,
Sasa wewe unakuja kwa hoja nyepesi
Hawakutoka kwa sababu jeshi la poisi lilikamia kuwapiga risasi watakaotokaHapana me sio Lumumba bwana, ila nimejaribu kuwaza tu
Mbona wanainchi hawajatoka road kupinga kuwa mbunge alieteuliwa sio ambao walimchagua?
ACT wanataka maridhiano zanzibar, na Leo wameshiriki kwenye mkutano wa kwanza wa barazaKuhisi! Sawa
Ujinga kama huu unaweza kuwazwa na mtu kati hawa;
watu wenye IQ ndogo sana
walevi wa mataputapu
wavuta bange ambao medula o'blangata ilishaharibika
watu wenye matatizo ya akili
Ukiona hivyo basi ujue wanainchi wameridhikaNguvu ya umma siyo maana yake watu wakauliwe na jeshi lao wenyewe.
Hawajaridhika, badala ya Jeshi la Polisi kuyalinda maandamano yao ya amani jeshi la polisi lilikamia kuwapiga risasi, Sasa raia hawana hata manati kwa nini waende wakauliwe?Ukiona hivyo basi ujue wanainchi wameridhika
Sasa nyie mnawakilisha wanainchi wa dunia gani?
Hawajaridhika, badala ya Jeshi la Polisi kuyalinda maandamano yao ya amani jeshi la polisi lilikamia kuwapiga risasi, Sasa raia hawana hata manati kwa nini waende wakauliwe?.
Polisi ilipaswa kuyalinda maandamano yao maana ni haki yao ya kikatiba
Kama Polisi wangeyalinda maandamano yao au wasingekamia kuwaumiza wangeenda.Huo ni uongo tunaolishwa, hakuna mwamainchi angeenda road trust me
Sijui dunia gani kwani hapo juu uliposema mabalozi wao wameenda uapisho ulikuwa unaongelea dunia gani?kama ni kibisa mbona usifukuze mabalozi wap maana kila siku wanasema hii nchi inavunja haki za bionadamu na jana wamemsindikiza Lissu had airport huku ana kesi sita mbona hakuzuiliwa? si nchi huru hii?Hiyo dunia ni nyoka wa kibisa
Haina kitu, wanaandika tu,
Mbona hawajazuia rais kuapishwa? Mbona mabalozi wao wameenda kwenye sherehe ya uhapisho?
Au hiyo dunia ni dunia gani
Wamezuia anything kufanyika?sijui dunia gani kwani hapo juu uliposema mabalozi wao wameenda uapisho ulikuwa unaongelea dunia gani?kama ni kibisa mbona usifukuze mabalozi wap maana kila siku wanasema hii nchi inavunja haki za bionadamu na jana wamemsindikiza lissu had airport huku ana kesi sita mbona hakuzuiliwa ?si nchi huru hii?
Na wao wakishinda ubunge 100% ht kama n za wizi kama mnavoamini, ww unapungukiwa na nn.?CHADEMA ikifa wewe unapungukiwa na nini na wakati mmeshinda ubunge kwa 100% na ndiyo ilikuwa lengo lenu?
Tundu Antipas Lissu is still with us. As he said: "The world is now a village".You must be wrong... Wahenga Walipata Kusema “Hauwezi Kujisaidia Kariakoo Mchana kweupe Ukatoka Unapiga Miruzi Mikono Mfukoni Huku Ukijiaminisha Watu Hawakuoni. We're naked brother "Dunia ya Sasa ni Kijiji" Zoezi tulilolimaliza dunia ilituona tukiwa "Uchi" Stop Joking "TAL" was for the purpose na hakuwa anatania. Ameshaondoka tuongee tu ya kwetu kwani sio Threat Kwa muda huu Mfupi. Nadhani madhara ya kujisaidia K'koo mchana Kweupe tutayaona mda si Mrefu, Tujipe muda "Tunaenda Kubinywa"..Daaah!!!!
Wapi police walisema watawauaKama Polisi wangeyalinda maandamano yao au wasingekamia kuwaua wangeenda
TAL is still with us. As he said: "The world is now a village".
Wanainchi wako kimya wanafanya mambo Yao,Hawezi kukujibu!