Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

Muulize hili: fisiemu filishinda viti vingapi kiuhalisia? Jee JANDONI hawajakoromewa kuhusu UNAFIKUM? Hawajasonywa na kukoromewa MSITHUBUTU kamwe?. Mahasira na tahadhari kibao za nini?

Kaka hii ni siasa, toa mifano Hai, sio mifano ya jandoni sijui wapi

Kama umeibiwa ishu sio kujitoa, nenda mahakamani basi
 
Kwanza ungejiuliza kwanini ccm waliiba kura na kutengeneza kura feki
Una ushahidi?
Hizo kura ziko wapi?

Sawa CCM wameiba je kujitoa kutoshiriki anything maana yake huo wizi unakuwa haramu au
 
Ujinga kama huu unaweza kuwazwa na mtu kati hawa;
watu wenye IQ ndogo sana
walevi wa mataputapu
wavuta bange ambao medula o'blangata ilishaharibika
watu wenye matatizo ya akili

Jibu hoja sio unakuja na mambo mepesi
Lissu amekuja kuvuruga upinzani,

Bungeni hamuendi na mtakaa miaka mitano bila kusikika kokote
 
Ila ndugu yangu sikumbuki ni uchaguzi gani wa Tanzania umefanya CCM inyooshewe vidole na kusutwa Duniani kama huu, bila shaka effect ya Lissu hiyo.
 
Ukiona hivyo basi ujue wanainchi wameridhika

Sasa nyie mnawakilisha wanainchi wa dunia gani?
Hawajaridhika, badala ya Jeshi la Polisi kuyalinda maandamano yao ya amani jeshi la polisi lilikamia kuwapiga risasi, Sasa raia hawana hata manati kwa nini waende wakauliwe?

Polisi ilipaswa kuyalinda maandamano yao maana ni haki yao ya kikatiba
 
Hawajaridhika, badala ya Jeshi la Polisi kuyalinda maandamano yao ya amani jeshi la polisi lilikamia kuwapiga risasi, Sasa raia hawana hata manati kwa nini waende wakauliwe?.

Polisi ilipaswa kuyalinda maandamano yao maana ni haki yao ya kikatiba

Huo ni uongo tunaolishwa, hakuna mwananchi angeenda road trust me
 
Hiyo dunia ni nyoka wa kibisa
Haina kitu, wanaandika tu,

Mbona hawajazuia rais kuapishwa? Mbona mabalozi wao wameenda kwenye sherehe ya uhapisho?

Au hiyo dunia ni dunia gani
Sijui dunia gani kwani hapo juu uliposema mabalozi wao wameenda uapisho ulikuwa unaongelea dunia gani?kama ni kibisa mbona usifukuze mabalozi wap maana kila siku wanasema hii nchi inavunja haki za bionadamu na jana wamemsindikiza Lissu had airport huku ana kesi sita mbona hakuzuiliwa? si nchi huru hii?
 
sijui dunia gani kwani hapo juu uliposema mabalozi wao wameenda uapisho ulikuwa unaongelea dunia gani?kama ni kibisa mbona usifukuze mabalozi wap maana kila siku wanasema hii nchi inavunja haki za bionadamu na jana wamemsindikiza lissu had airport huku ana kesi sita mbona hakuzuiliwa ?si nchi huru hii?
Wamezuia anything kufanyika?
Wanaandika Twitter tu na Instagram
Hawana madhara yoyote
 
CHADEMA ikifa wewe unapungukiwa na nini na wakati mmeshinda ubunge kwa 100% na ndiyo ilikuwa lengo lenu?
Na wao wakishinda ubunge 100% ht kama n za wizi kama mnavoamini, ww unapungukiwa na nn.?
 
You must be wrong... Wahenga Walipata Kusema “Hauwezi Kujisaidia Kariakoo Mchana kweupe Ukatoka Unapiga Miruzi Mikono Mfukoni Huku Ukijiaminisha Watu Hawakuoni. We're naked brother "Dunia ya Sasa ni Kijiji" Zoezi tulilolimaliza dunia ilituona tukiwa "Uchi" Stop Joking "TAL" was for the purpose na hakuwa anatania. Ameshaondoka tuongee tu ya kwetu kwani sio Threat Kwa muda huu Mfupi. Nadhani madhara ya kujisaidia K'koo mchana Kweupe tutayaona mda si Mrefu, Tujipe muda "Tunaenda Kubinywa"..Daaah!!!!
Tundu Antipas Lissu is still with us. As he said: "The world is now a village".
 
Back
Top Bottom