CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 654
Wanachama wa JamiiForums nilipotea kidogo maana nilighafilika kuona nyuzi zangu zote kuhusu kumkampenia Tundu Lissu na kusema Magufuli hafai zimefutwa.
Leo nimekuja na maneno machache aliyoyasema Lissu akiwa na waandishi wa habari kwamba "kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali unahitaji akili pekee ili upate pesa ". Jamani hii ni akili kubwa sana, kwa Tanzania wamebarikiwa wachache sana. Tumpe nafasi aiongoze hii nchi.
Hebu fikiria matrioni ya walipa kodi yalivyotumika kunufaisha mabeberu kwenye ununuzi wa ndege badala ya kubaki nchini na kuboresha maisha ya watanzania.
Tungetumia akili tungeweza kupata huduma zote na faida zote zinazopaswa kutolewa na shirika la ndege kwa kutumia sekta binafsi bila hata kutoa senti ya mlipa kodi.
Tarehe 28 10 2020 hastahili kuendelea kuwa Rais.