Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hilo lijamaa litakuja kufa kifo kibaya sana.Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Mmeuza Loliondo kwa Waarabu shenzi zenu.Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Kama Magufuri eti.Hilo lijamaa litakuja kufa kifo kibaya sana.
Ndiyo wapi huko mkuuubeleji
Punguza mihemko basiBelgium
Yawezekana mambo mengi yamechangia,nadhani ubongo wake umeingia disputed mode.Lissu nilikua mfuasi wake,ila kwassa hapana, jamaa ana tatizo la akili nahisi na hana shukrani
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Kuna siku mtu atakufanyia utu na baadae akamtongoza mkeo, na utaona ni utu pia mkeo kukubali. Kufanyiwa utu isikufanye kuwa mtumwa wa aliyekukarimu, hivyo ndivyo ukoloni uliingizwa Africa. Mara nyingine ilikuwa ni utu wa kupewa shanga na kioo cha kujitazamia, basi. Tukaachia nchi kwa kurudisha utuHistoria mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Alibinafsisha mbuga ya Ngorongoro na kuwahamisha Wamasai wa Loliondo?Alibinafsisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu?Mkapa wakati anabinafsisha alikuwa mpemba?
Akili zako haziko sawasawaMtu akikusaidia Haina maana uwe mtumwa kwake
Samia akikosea lissu lazima amwambie ukweli
Watu tunawaambia ukweli mpaka wazazi wetu waliotuzaa na kutulea sembuse huyo aliyemtembelea hospitali
Jitambue kijana, mtu akikusaidia sio lazima umuabudu kwa Kila kitu hata akikukosea huwezi kumuambia, usipokua na msimamo utashikishwa utaku kijana kua makiniAkili zako haziko sawasawa
Bado hoja ya Lissu ya kwa nini tanganyika itawaliwe na mzanzibari haijajibiwa.Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Kwa hiyo hapa tayari ushajibu hoja?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
KUONGEA UKWELI SIO KITUKANA HEBU TUMIA KICHWA CHAKO KUTAFAKARI MAMBO, NAMAANA ACHA KUTAFAKARI MAMBO KWA KUTUMIA MAKALIOHistoria mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.
Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.
Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Sawa na hakuna Rais Tanzania ninayemkubali kama Benjamin William Mkapa.Miaka hiyo ulikuwa bado unachunga mbuzi