Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Hilo lijamaa litakuja kufa kifo kibaya sana.
 
Mmeuza Loliondo kwa Waarabu shenzi zenu.
 
Lissu nilikua mfuasi wake,ila kwassa hapana, jamaa ana tatizo la akili nahisi na hana shukrani
Yawezekana mambo mengi yamechangia,nadhani ubongo wake umeingia disputed mode.
Utadhani walimpandikisa chip ya kumvuruga,Belgium ni mabingwa wa unyama uliokubuu,waliua milioni 15 za wakongo kwa amri ya Mfalme wao King Leopold,baadae ilimkaanga hadi akayeyuka Waziri mkuu wa kwanza wa Kongo Leopordiville (DRC) Patrick Lumumba kwenye Concertrated Sulfuric Acid enzi hizo.Hata mauwaji ya Dag Harmarshorg katibu mkuu wa UN,wanahusishwa.Miaka ya karibuni Wabelgigi wameongeza utundu wa unyama wakamfuga mpendwa wetu chip,sio bure Something terrible is wrong.
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU

Tatizo la watu wasiofikiri kila kitu wanafikiri kibinafsi. Hoja ya Lissu sio kwasababu ya Lissu ni hoja ya taifa nzima. Uraisi wa Samia ni katiba na sheria sio kwamba Samia na Lissu binafsi ni watu wabaya. Kinachoongolewa hapa ni katiba mbaya , upendeleo wa wazi kwa wanzanzibari kuanzia idadi ya wabunge na uongozi. Sheria za zanzibar za kupendelea watu wa zanzibar pekee wakati wenyewe wana haki sawa. Haya ndiyo matatizo sio nani kaenda hospitali nani hakwenda. Bonduki, risasi, hospitali haina maana mtu aunge mkono sheria mbaya kwasababu zake binafsi.

Mnatakiwa kuelewa mambo kwa upana badala ya kuongelea mambo binafsi.
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Kuna siku mtu atakufanyia utu na baadae akamtongoza mkeo, na utaona ni utu pia mkeo kukubali. Kufanyiwa utu isikufanye kuwa mtumwa wa aliyekukarimu, hivyo ndivyo ukoloni uliingizwa Africa. Mara nyingine ilikuwa ni utu wa kupewa shanga na kioo cha kujitazamia, basi. Tukaachia nchi kwa kurudisha utu
 
Mtu akikusaidia Haina maana uwe mtumwa kwake

Samia akikosea lissu lazima amwambie ukweli

Watu tunawaambia ukweli mpaka wazazi wetu waliotuzaa na kutulea sembuse huyo aliyemtembelea hospitali
Akili zako haziko sawasawa
 
Lissu katendewa mema mengi na wazanziber kuliko watanganyika, mnyaturu hanaga fadhila
 
Akili zako haziko sawasawa
Jitambue kijana, mtu akikusaidia sio lazima umuabudu kwa Kila kitu hata akikukosea huwezi kumuambia, usipokua na msimamo utashikishwa utaku kijana kua makini
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Bado hoja ya Lissu ya kwa nini tanganyika itawaliwe na mzanzibari haijajibiwa.
Haijalishi mzanzibari amemfanyia nini mtanganyika tunachotaka sisi watanganyika ni Tanganyika huru yenye kiongozi mtanganyika na Zanzibar huru inayoongozwa na wazanzibari
 
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.

Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo watanganyika walikataa kumrudishia.

Watanganyika walimyima fedha ya matibabu wakamfukuza bungeni.

Nashangaa Lissu anajitapa na utanganyika ili apate nini, waasisi wa bara hili na Afrika walitanguliza UTU
Kwa hiyo hapa tayari ushajibu hoja?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
KUONGEA UKWELI SIO KITUKANA HEBU TUMIA KICHWA CHAKO KUTAFAKARI MAMBO, NAMAANA ACHA KUTAFAKARI MAMBO KWA KUTUMIA MAKALIO
 
Back
Top Bottom