Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

Ufisadi uliasisiwa na Nyerere pale alipotupa Muungano usio na faida kwetu,pili alizuia tusichimbe madini kitu ambacho kilikuwa haramu kwa wakati huo.
Usiongee Kama umekatwa kichwa! Haya wanayachimba hayo madini...umeona mikataba wanayoingia?
Yule mzee aliona mbali Sana alijua akiruhusu tu wakati taifa bado changa hatuna wataalam wa kutosha tungechezewa
Haya unaona kinachofanyika Sasa hivi?
 
Lissu, Mbowe wote ni sehemu ya wanaolipwa mishahara na mfumo huu huu wanaouponda.

Mwanasiasa akikwambia mvua inanyesha hapo nje toka nae uhakikishe mwenyewe.
 
Usiongee Kama umekatwa kichwa! Haya wanayachimba hayo madini...umeona mikataba wanayoingia?
Yule mzee aliona mbali Sana alijua akiruhusu tu wakati taifa bado changa hatuna wataalam wa kutosha tungechezewa
Haya unaona kinachofanyika Sasa hivi?
Dunia kwa bahati mbaya haimsubiri mjinga apate akili ili aweze kufaidika na utajiri aliopewa na Mungu.
 
Sasa hivi Lissu angekuwa ardhini anakenua tu
Punguza porojo
Acha mihemko
Lissu anaongea ukweli ambao wengi hampendi kuusikia
Tanganyika kwanza Tanzania baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…