startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Usiongee Kama umekatwa kichwa! Haya wanayachimba hayo madini...umeona mikataba wanayoingia?Ufisadi uliasisiwa na Nyerere pale alipotupa Muungano usio na faida kwetu,pili alizuia tusichimbe madini kitu ambacho kilikuwa haramu kwa wakati huo.
Yule mzee aliona mbali Sana alijua akiruhusu tu wakati taifa bado changa hatuna wataalam wa kutosha tungechezewa
Haya unaona kinachofanyika Sasa hivi?