Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma.

Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva wake yupo Ubelgiji alipatiwa hifadhi na Serikali ya Nchi hiyo.

Lissu amesema kipindi alipopata matatizo alienda na Dereva wake Nchini Ubelgiji.

Aidha Lissu amesema Dereva huyo anaendelea vizuri Nchini Ubelgiji na amepatiwa mafunzo ya Lugha na Serikali ya Nchi hiyo na kama kurudi hapa Nchini atarudi muda wowote kwani hapa ni Nyumbani.

Lissu ameongeza kwa kusema kuwa kama Serikali inamuhitaji Dereva huyo kwa ajili ya ushahidi kwa Jeshi la Polisi inabidi mwanasheria Mkuu wa Serikali aandike Barua kwa mwanasheria mkuu wa Ubelgiji ili kumwambia arudi hapa Nchini kwa ajili kutoa ushirikiano wa ushahidi.
 
Hilo gari itabidi lichunguzwe kwa makini ikiwa polisi hawajaiba baadhi ya vipuli
 
Aliyekuwa anatfutwa kuuawa ni ni Lisu; iweje dreva ndiye iwe dili kiasi hicho? Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Lissua hivi bado ana akili kudhania kuna watu watahangaika na matatizo yaliompata? Anapoteza muda wake bure.
 
Aliyekuwa anatfutwa kuuawa ni ni Lisu; iweje dreva ndiye iwe dili kiasi hicho? Za kuambiwa changanya na za kwako.

..walitaka wambambikie kesi dereva.

..sasa hivi wanaona aibu tu kusema kuwa hawakuwa wakimhitaji dereva.
 
Jiwe alikuwa shetani mpumbavu na nusu
He is no more. Kama kuna kitu aliwazuia kufanya, hayupo tena. Feel free to do whatever you couldnt've done while he was around.

Aliwatisha sana
 
Back
Top Bottom