Wambambikie kuwa ndiye kamshambulia Lisu? Hata waliomteka Mo na Roma tumeshawekewa hapa kuwa ni waliokuwa maadui wa Magufuli...walitaka wambambikie kesi dereva.
..sasa hivi wanaona aibu tu kusema kuwa hawakuwa wakimhitaji dereva.
Huamini hilo! Msome vizuri yoga.