Wambambikie kuwa ndiye kamshambulia Lisu? Hata waliomteka Mo na Roma tumeshawekewa hapa kuwa ni waliokuwa maadui wa Magufuli...walitaka wambambikie kesi dereva.
..sasa hivi wanaona aibu tu kusema kuwa hawakuwa wakimhitaji dereva.
Wambambikie kuwa ndiye kamshambulia Lisu? Hata waliomteka Mo na Roma tumeshawekewa hapa kuwa ni waliokuwa maadui wa Magufuli.
Huamini hilo! Msome vizuri yoga.
Utafata wewe mbwa koko. Kifo hakiepukiki. Na hata huyo mungu wako lisu atakufa.Nguruwe wenu aliyeagiza Lissu auwawe ametangulia ardhini bado wewe mbwa koko
JokaKuu, naomba nikatishe huu mjadala. I know you know more than I know in this game...wangekuwa ni maadui wa Magufuli ange-deal nao haraka sana.
..yule dereva ana bahati. Wangembambikia kesi na hata kumuua baada ya hapo.
..Polisi wa Magufuli walisema Mo alitekwa na raia wa Afrika Kusini lakini mpaka leo picha na majina yao hayajulikani.
Sometimes you talk like an amateur pig...wangekuwa ni maadui wa Magufuli ange-deal nao haraka sana.
..yule dereva ana bahati. Wangembambikia kesi na hata kumuua baada ya hapo.
..Polisi wa Magufuli walisema Mo alitekwa na raia wa Afrika Kusini lakini mpaka leo picha na majina yao hayajulikani.
Siyo kwamba alitutisha, bali aliua, alipora, alipiga risasi na kuteka watu.Aliwatisha sana
Kwahiyo alivyopiga risasi na kuua hamkutishika?!Siyo kwamba alitutisha, bali aliua, alipora, alipiga risasi na kuteka watu.
You are being naive Joka, kama Nyerere with all his wisdom and intelligence alishindwa kupambana na hao madhalimu hadi wakamuua, Magufuli kweli ndiye angewaweza!..wangekuwa ni maadui wa Magufuli ange-deal nao haraka sana.