LGE2024 Tundu Lissu aliwaasa kuwa hakuna uchaguzi ila mkampuuza

LGE2024 Tundu Lissu aliwaasa kuwa hakuna uchaguzi ila mkampuuza

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
20241127_191421.jpg
 
Wananchi wasahaurifu sana. Wamekumbushwa
Chief fikiria kitu kabla ya kuandika. Chaguzi zote ambazo zimevurugwa na CCM ukiwepo wa 2019 bado wananchi hawajaona madudu ya CCM hadi saa hii?
 
Chief fikiria kitu kabla ya kuandika. Chaguzi zote ambazo zimevurugwa na CCM ukiwepo wa 2019 bado wananchi hawajaona madudu ya CCM hadi saa hii?
Ule ulikua wakati wa Magufuli walitaka waone na kwa samia
 
Hahaha hii UONGO hii. Tundu Lisu alipiga kampeni nchi nzima.
 
Back
Top Bottom