Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

lord atkin

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
205
Reaction score
769
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.

Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.

Sasa majibu yame patikana.
 
Kumbe ndio maana maCCM wanachukulia powa sana wananchi kwasababu wanajuwa hatuna kimbilio.

Kuna watu tumekosana na marafiki na Ndugu kwa kumtetetea Mbowe, watu wamepoteza maisha, mali muda na kila kitu kwa kuijenga CHADEMA wakati Mwenyekiti wake akiwa anafanya deal la kula kuuza nchi kwa kushirikiana na CCM.
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.

Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.

Sasa majibu yame patikana.
Nilifikiri ni mimi ndio nilikuwa sijui kumbe siko peke yangu!

Hiki alichokisema Lissu kimenipa tafakuri nzito, naogopa!
 
Dot zinaunganishwa hivi.

Kuvuja au kuanza kwa harakat za fedha za Abdul na mama yake ni lini?

Tangu hapo mjumbe gani Kamati Kuu CHADEMA amefariki?

Mzee Kibao alikuwa mjumbe Kamati Kuu? Maana kifo chake kilikuwa na dalili za mtu aliyeuawa kutokana na kutishia au kutaka kuvujisha "Siri" Fulani

Mzee Kibao aliuawa kukiwa na ishara kwamba alikuwa akiwakimbia watu Fulani aliokosana nao Dar.
 
Kumbe ndiyo maana kuna watu, hata humu JF wamevimba midomo, macho, masikio hadi pua; na vidole kujipinda kwa kubonyeza 'keyboard' wakimlaumu Tundu Lissu kwa wanaouita wao "uropokaji".

Kumbe wanajua mabomu aliyo nayo Tundu Lissu na wanayo hofu kubwa kuwa atayalipua!

Uovu wa aina hii nao uwe ni sehemu ya kuwekeana siri viongozi?

Hovyo kabisa.
 
Dot zinaunganishwa hivi.

Kuvuja au kuanza kwa harakat za fedha za Abdul na mama yake ni lini?

Tangu hapo mjumbe gani Kamati Kuu CHADEMA amefariki?

Mzee Kibao alikuwa mjumbe Kamati Kuu? Maana kifo chake kilikuwa na dalili za mtu aliyeuawa kutokana na kuvujisha "Siri" Fulani

Mzee Kibao aliuawa kukiwa na ishara kwamba alikuwa akiwakimbia watu Fulani aliokosana nao Dar.
Na watu hao hawakuwa wepesi maana hadi walijua nyendo zake wakaenda kumkamata katika basi ambako Mzee wa watu alidhani ni usafiri salama.

Kumbe ndio maana Mbowe alizuia wanachama waliokuwa na hasira msibani wasimfanyie fujo Masauni!
 
Back
Top Bottom