Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Mtu kama Mzee Kibao hawezi kuuwawa bila sababu ya msingi.

Ukiaangalia jinsi Mwenyekiti alivyowanyamazisha wanachama, Mama Abdul aliposema kwa dharau kifo ni kifo tu, Mama Abdul alitoa ahadi uchunguzi wa haraka utafanyika, hadi leo kimya.

Inaonekana Kibao alikataa rushwa ya Abdul na aliwajua wote walipokea rushwa, labda alitishia kuwa-expose, kwahiyo order ikatolewa kwa namna yoyote awe liquidated ili iwe onyo kwa wengine. Ndio maana ya kutekwa, kuteswa na kuuwawa mchana kweupe.
 
Lissu shikilia hapo hapo.

Mbowe NI mtu hatari Sana.

System ilipomkamata Kwa ugaidi haikuwa Bahati mbaya.

Mbowe ni gaidi na aliachiwa na system sababu ya ujinga wetu kujidai kujua kuliko system.
We jamaa umenifanya niwaze matukio mengi sana ya CHADEMA, ndio maana huyu mtu hawezi kukubali kuachia nafasi ya Uenyekiti.

Mbowe ana mengi ya kuyalinda nje ya maslahi ya kifedha tuliyodhani na kuyapa kipaumbele.
 
Lissu atakuwa yuko kwenye hatari sana. Naelewa sasa kwanini aliomba ahakikishiwe usalama wake na aliomba ulinzi kwa serikali, sasa sishangai akivaa bullet proof vest.

Sababu ya kumuondoa Kibao inaweza kutumika hiyo hiyo kujaribu kumuondoa Lissu duniani.
Lissu ameshakuwa big fish, kumuondoa sasa hivi itakuwa vigumu baada ya kushindwa kwa jaribio la awali.
 
Kwa kibao hapo ni kama ilikuwa script mbn kama naanza kuogopa hvi

Na kama ni ukweli hayo yasemwayo bora hiki chama kife mana kitakuwa ni adui mkubwa wa haki huku watu tukihisi kitatukomboa siku moja

By the way tukio la TAL 2017 Lingetosha kumnyamazisha lkn this guy is real patriot
 
Kumbe ndio maana maCCM wanachukulia powa sana wananchi kwasababu wanajuwa hatuna kimbilio.

Kuna watu tumekosana na marafiki na Ndugu kwa kumtetetea Mbowe, watu wamepoteza maisha, mali muda na kila kitu kwa kuijenga CHADEMA wakati Mwenyekiti wake akiwa anafanya deal la kula kuuza nchi kwa kushirikiana na CCM.
🤔🤔🤔
 
Na inawezekana ndiye aliyepanga kumfyatulia risasi Lissu😁😁
Hahahaa.

Sicheki Lissu kupigwa risasi.

Nacheka tu jinsi narrative inavyoanza kubadilika kidogo kidogo.

Mwanzoni villain alikuwa Magufuli.

Sasa hivi kibao kimeanza kubadilika kidogo kidogo.

Muda si mrefu kuna mtu atatapika yote aliyonayo moyoni.

Ila kwa huu ufa ulioanza kujionyesha, CHADEMA haitokuwa tena kama ilivyokuwa zamani.

Hii CHADEMA ya sasa na ijayo, ni dhaifu sana.

Na kuhusu Mbowe, kuna watu humu walikuwa wanahoji sana ushiriki wake katika kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Lissu.

Hiyo ilikuwa ni kipindi kile cha Magufuli.

Lakini kwa vile Magufuli ndo alikuwa villain kwa wakati huo, jaribio lolote lile la hata kuhoji tu uwezekano wa labda Mbowe alikuwa anajua zaidi kuhusu hayo matukio kuliko na alivyokuwa anaonekana, lilikumbwa na push back kali sana toka kwa makamanda.

Like, how dare you question our dear chairman! Mbowe ndiye aliyekodi ndege binafsi kum airlift Lissu kwenda Nairobi akiwa hajitambui.

Anywho, ngoja niendelee kuangalia hii ngoma iliyo inogile.

Ila idea ya kwamba sasa Mbowe ameanza kuwa villain, ni tamu kuliko cranberry sauce iliyopo kwenye menu ya kesho kwenye mlo wa Krismasi 🤣.

It will be sweet to watch what transpires.
 
Dot zinaunganishwa hivi.

Kuvuja au kuanza kwa harakat za fedha za Abdul na mama yake ni lini?

Tangu hapo mjumbe gani Kamati Kuu CHADEMA amefariki?

Mzee Kibao alikuwa mjumbe Kamati Kuu? Maana kifo chake kilikuwa na dalili za mtu aliyeuawa kutokana na kuvujisha "Siri" Fulani

Mzee Kibao aliuawa kukiwa na ishara kwamba alikuwa akiwakimbia watu Fulani aliokosana nao Dar.
Tofautisha kati ya kuvujisha siri na kufichua uovu.
 
Back
Top Bottom