Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Unaona Lisu alivyompuuzi....... leta vielelezo, si alikuachia? si alikupa ushidi? au alikwambia kwa maneno which is not evidence!

Anataka kuwapakazia walio kufa akijua hawatarudi!
Mbowe anamsema Magufuli Kila Siku Bila kuweka Ushaidi lakin husemi kitu kuhusu hilo. Lakin Samia Kaharibu Uchaguzi , Watu wanatekwa na kuuawa lakini Mbowe anasema mama anaupiga mwingi na maridhianao yan maana kubwa kwake,

Je, maridhiano yana maana ipi kwa Chadema na Taifa kwa ujumla kama watu wanatekwa na kuuawa? inawezekana maridhiano yana maana kubwa kwake kwa kusamehewa Kesi ya Ugaidi na Lisu amesema Aliyempa maelezo ya kina Juu rushwa Kwenye Chama sasa ameuawa!!

Ally Kibao ameuwa Kipindi Cha mama lakini Mbowe anakwambia maridhiano yana maana. Je, Maridhiano yana maana gani Kama watu wanauwawa Na Chaguzi zinaharibiwa?

Kwa nini Mbowe amekomaa na Marehemu Magufuli ilihali watu wanakufa na Chaguzi zinaharibiwa na Samia na anaridhika na Uongozi wake?
Kipi kimejificha na kinachowaunganisha Mbowe na Samia?
 
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Tukisema chadema ni chama cha wapumbavu muwe mnaelewa, joka linalowaua na kuwateka kila siku mnalo mnalilisha nyie halafu mnakaza mafuvu kuisingizia ccm. Code aliyosema mlopokaji wenu ni mazhombi pekee hawatamuelewa wataendelea ccm ccm ccm ccm.
 
Nilikuwa nashangaa how come viongozi wa CHADEMA wanakuwa wa kwanza kupata Habari za kutokwa na kuokota kwa miili! Code imefunguka !
Na inaonekana wazi sasa hawa CHADEMA wanashirikiana na serikali ya CCM kuwa-eliminate wapinzani wao- rejea kauli ya Dr. Slaa kwamba alilazimishwa kugombea- vinginevyo angeuawa.

Huyu Mbowe ni either ni Tutusa anayetumika tu ili mradi ugali uende kinywani au ni Mamluki wa usalama anayeshirikiana nao ili kukwamisha jitihada za wananchi kupata wanachokitaka.

Ukiunganisha doti za matukio yote, utagundua kwamba, ukombozi halisi wa mtanzania hautotoka kwa kupitia hivi vyama vya Saisa- Circumstantially ni Kama wana- collude ili kula mali za nchi Kwa namna yao.

Akitokea mtu anayewapinga, watamfanyia figisu hadi mauaji - Ila nao pia siku yao yaja- ndio maana ya ututusa wa kuwaondoa wengine mapema.

Tunapoelekea- watu watakosa imani na vyama vya siasa, watajichukulia sheria mikononi, tutakuwa Kama Somalia muda si mrefu.

CCM haiwezi poteza mvuto peke yako-lazima na CHADEMA pia ipoteze- huko walipo wanafurani Sana Kwa kinachoendelea huko CHADEMA na ndio maana mashabiki Kama tlatla na Lucas Mwashambwa wako hapa 24/7 wakimtetea Mbowe maana wanajua ugali unakaribia kumwagwa- mboga lazima ilindwe kwa gharama zote.. nafuu au ghali.
 
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.

Hii haibadilishi ukweli kwamba ni usalama umefanya kazi
 
Kumbe ndiyo maana kuna watu, hata humu JF wamevimba midomo, macho, masikio hadi pua; na vidole kujipinda kwa kubonyeza 'keyboard' wakimlaumu Tundu Lissu kwa wanaouita wao "uropokaji". Kumbe wanajuwa mabomu aliyo nayo Tundu Lissu na wanayo hofu kubwa kuwa atayalipua!

Uovu wa aina hii nao uwe ni sehemu ya kuwekeana siri viongozi?

Hovyo kabisa.
Ukisikia mtu anatuhumiwa kwa uropokaji basi huyo mtu ni mkweli. Ingekua sio kweli wangemtuhumu ni muongo.

Lissu amewashika pabaya, wanabaki kumtuhumu kua ni mropokaji, hawasemi kama karopoka ukweli ama uongo.

Chadema ni saccos ya familia ya Mbowe, kile sio chama cha siasa tena.

Zile tuhuma za ugaidi za mbowe zilikua kweli.
 
Kumbe ndiyo maana kuna watu, hata humu JF wamevimba midomo, macho, masikio hadi pua; na vidole kujipinda kwa kubonyeza 'keyboard' wakimlaumu Tundu Lissu kwa wanaouita wao "uropokaji". Kumbe wanajuwa mabomu aliyo nayo Tundu Lissu na wanayo hofu kubwa kuwa atayalipua!

Uovu wa aina hii nao uwe ni sehemu ya kuwekeana siri viongozi?

Hovyo kabisa.
Ngoja tusikie ukweli zaidi.

Ni muda wa ukweli sababu una tabia ya kuchelewa ila ukifika hauzuiliki.
 
Watu walihoji hayo tokea 2017!

Ila ilikuwa ukihoji, unaishia kuitwa Mataga.

These people are dumb.
Na Mbowe aliwaweza akisikia minong'ono anasema tu pipoooz wanajibu pawaa kila mtu anapotea...CHADEMA walipoteza credibility waliposimama na Lowassa kugombea Urais, mtu ambaye walitumia nguvu nyingi kumuita fisadi...hakuna majibu yoyote yaliyotoa huo mkanganyiko zaidi ya misemo ya kihuni sijui kubadili gia angani
 
Ukiunganisha dot unajua kabisa ni nani na kwanini alikuwa.

Maridhiano gani hayakuhusisha kupatikana mwili wa Ben Saanane na Mawazo wala wauaji wake? Hili ndio lingekuea takwa la kwanza la CHADEMA kabla la Mambo mengine yote.

Mikutano ya kisiasa ni takwa la kisheria na sio ridhaa ya CCM mpaka waombwe. Watu wameuawa na kuendelea kutekwa chini ya maridhiano.
 
"Mbowe Kapokea pesa za Abdul, mmojawapo wa watu wa CHADEMA aliyetoa hii Siri, anauliwa kinyama! na execution squad ya CCM! "

If it walks like duck, smells like a duck, then it's a duck.

Mbowe anatumika, ni compromised na CCM kuiua CHADEMA kutokea ndani, yupo kwenye payroll ya state,! Anafanya alichowahi kufanya Mabere Marando ndani ya NCCR Mageuzi.

Kama ni kweli na sio conspiracy theory,
 
Back
Top Bottom