wapi kasema Samia anaupiga mwingi? Unajua kama siyo "maridhiano" hata mikutano ya vyama ingelikuwa bado imefungiwa? Kesi 400 plus zingelikuwa bado mahakamani, etc etc. Sema kuwa huo ni mwanzo.... bado mengi ya kufaya kuleta utawala bora, katiba mpya tume huru y uchaguzi etc etc.Watu wanatekwa na kuuawa lakini Mbowe anasema mama anaupiga mwingi na maridhianao yan maana kubwa kwake,
NIKUULIZE: Lisu atamlazimishaje samia alete katiba mpya? Tume huru ya uchaguzi? naomba jibu. kwanini hajafanya leo na jana, mpaka awe mwenyekiti?