Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

evidence, evidence, evidence...... anatoa revelations tu bila ushahidi.. kama akina Mbowe wangelikuwa kama yeye, wangelibwatuka tu na kumvika uongo kama anavyofanya yeye........

Fine sasa anashindwa nini kumuondoa Samia madarakani, kinamzuia nini ambacho atakipata kwenye uenyekiti?
Endelea kupiga supu tajiri nyama ziko chini. Ndo kwanza kumekucha, ikivuma sana lazima ipasuke huu ni muda wa CHADEMA kupasuka na haizuiliki. Ukishakuwa na taasisi lakini uendeshaji wake unasimamiwa na mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu haiwezi ku last long.

Muda utasema vizuri hata huo ushahidi kama haya yameanza kutokea naamini with time nao utaonekana. Taratiibu bila haraka

Merry X-Mass
 
Unaona Lisu alivyompuuzi....... leta vielelezo, si alikuachia? si alikupa ushidi? au alikwambia kwa maneno which is not evidence!

Anataka kuwapakazia walio kufa akijua hawatarudi!
Sisi CCM hatutaki Lissu awe Mwenyekiti. Tunamtaka Mbowe. Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Atakiua Chama. Mbowe ndo right person kwa sasa
 
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Mleta mada unge screenshot hiyo post ya Lisu ukaatach hapa mambo yangenoga sana
 
Huyu Mbowe ni kada cha chama Tawala, anatumika sana kudidimiza mapinduzi ya kisiasa Tz.

Ndio maana anayepingana naye au anayekuwa na nguvu kisiasa ndani ya chama, aidha anakufa au atafanya kila namna akuhamishe/akufukuze ktk chama.
 
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Anatafuta pa kutokea mwongo huyo.

Rushwa inatolewa kwa kificho kila anayepewa anapewe kivyake iweje mtu asiyehusika awe na ushahidi?

Rushwa sio posho kuwa inatolewa hadharani ndio maana ukiripoti TAJUKURU kuwa fulani anataka kukupa rushwav,mahali fulani unawapa maelekezo wanakuja wanavizia kwa kushuhudia ikitolewa na kukamata papo kwa papo.

Mtu anayeanini hadithi za rushwa zinazosemwa na Lissu hana uwezo wa kudadavua
 
Kumbe ndiyo maana kuna watu, hata humu JF wamevimba midomo, macho, masikio hadi pua; na vidole kujipinda kwa kubonyeza 'keyboard' wakimlaumu Tundu Lissu kwa wanaouita wao "uropokaji".

Kumbe wanajua mabomu aliyo nayo Tundu Lissu na wanayo hofu kubwa kuwa atayalipua!

Uovu wa aina hii nao uwe ni sehemu ya kuwekeana siri viongozi?

Hovyo kabisa.
Kalamu,

Huoni kwamba anatumia weledi wake kisheria kutuhadaa?

Ikiwa shahidi muhimu ni marehemu, awezaje itwa court kushuhudia iwapo Lissu amepandiahwa kizimbani?
 
Mmmm nahisi ni Mzee Kibao huyo! Kuna uwezekano system na Mwenyekiti ilikuwa na one mission!
Kwa ujumla Mbowe anawafanyia futuristic wanachama huku anakula kwa mrija!
Siku chache kabla ya tukio TANPOL walitoa taarifa kwa umma kwamba Kuna chama kimejipanga kuvamia vituo vya police. Yes, hii ukiconnect dots utagundua kwamba first suspect ni yeye.
 
Hellow!!

What if TUNDU Lissu anatumia weledi wake kuhusu Sheria kutuwekea mipaka kutomdai ushahidi muhimu Kwa kutuambia shahidi muhimu aliyemsaidia Lissu kukusanya ushahidi ni marehemu Kwa sasa?

Karibuni 🙏

..Lissu amezungumza.

..Wenje amezungumza.

..Abduli hajazungumza.

..Mama Abduli hajazungumza.

..ukweli utajulikana ikiwa hao watu wanne watazungumza kuhusu kilichotokea.
 
Back
Top Bottom