Ni rahisi sana kumtambua na kumjua mtu mdanganyifu. Wahalifu mara nyingi huwa si wazungumzaji kama alivyo TL...
Lakini huyu anayejitetea kwanini awe mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka 25 zaidi kwa kusema "...mimi ni mfanyabiashara mkubwa, nina biashara ndani na nje ya nchi...", atakuwa na lake jambo lazima..
Nowadays, he's behaving so strangely. Hajiamini, hana hoja na wala haieleweki anasimamia nini ndani ya CHADEMA kwa sasa...
Kifo cha mzee Ally Kibao ni lazima kitupe majibu....
Si ni mgeni kama wageni wengine wanaokuja kwake?
Na actually, mgeni wa Tundu Lissu siku hiyo alikuwa Hezekia Wenje (mwana CHADEMA, na kiongozi mwenzake wa chama). Hezekiah ndiye aliyekuja na Abdul na kumtambulisha kwa TL..
Unfortunately, kumbe ugeni ule ulikuwa ni "trap" with evil intentions kwa Tundu Lissu ambao hata hivyo uli - fail spectacularly...
There's nothing more to think kwa sababu Hezekiah Wenje (Team Freeman Mbowe) amesha confess publicly kuwa yeye ndiye aliyempeleka huyu mgawa rushwa kwa TL na hivyo yeye ni dalali wa rushwa za Abdul na Samia Suluhu Hassan - Mwenyekiti wa CCM...!!