palm Beach....acha speculations......... ame confess wapi? Usiongee kama mtu asiyekwenda shule.....
These are not speculation..
Ku - confesss kwa maana unayoijua wewe ni kupi..?
Hajakiri kuwa ni kweli yeye ndiye alimpeleka Abdul kwa TL...?
Kwa kukubali hili tu, mchezo unakuwa umeishia hapo...!
Kama una akili na kichwa kizito, shauri lako...
Mimi honestly Lisu was my favorite politician..both na Mbowe..even Zito was a good politician.... they had higher mental power reasoning!
So what..?
Achana nao. Mind your own businesses...
Sasa unapoona Lisu anaropoka mambo ambayo si swa mbele ya hadhara bila ushahidi, then huyo hafai! Kisa Uenyekiti!
Kama huku unakokuita "kuropoka" ni kuweka uchafu na uovu wazi ili watu waukatae, huko kuropoka ni kuzuri sana...
Kama wewe unachukia, you are in and part of that...
Yes, anautaka uenyekiti ili kukirejesha chama kwenye mstari, kitoke kwenye mkwamo huu...
And this is the right person indeed...!!
Anaongea as if hakuwa sehemu ya maamuzi yale..huyo ni Mpuuzi, tumemjua....
Don't be stupid..
Awe part ya maamuzi ya kukubali rushwa ya Abdul na mama yake mama Abdul na Mwenyekiti wa CCM? Are you kidding, right...?
At least he was a part of some decisions. Mfano la Maridhiano ambapo baadae wote wanakiri kuwa waliingizwa mkenge na Mama Abdul..
Lakini kwa hili na mengine, anakubali kuwa walifanya makosa. Na maamuzi yao hayo kwa umoja wao yalikuwa ni kumlinda na kulinda heshima ya Mwenyekiti by that time...
Lakini sasa, muda huu si wa kulindana tena. Ni wakati wa uchaguzi kutafuta viongozi wapya...
Ni muda wa kuweka wazi matatizo yaliyopo chamani na ku - lay down njia na strategies za kukipeleka chama mbele...
That's what Tundu Lissu is doing...
Rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, ubinafsi (selfishness) ni baadhi tu ya matatizo yanayoikabili CHADEMA...
Solution ni kuwa na uongozi mpya wenye fresh ideas with new strategies...
Eleweni Tundu Lissu anataka nini. Hakuna baya lolote analofanya for sure...
na hao nyinyi mnao mshabikia kesho atawageuka kama alivyomgeuka Mbowe mkitaka nafasi yake.
Sawa tu..
Na ndiyo maana kuna periodic elections after every five years kwa kufanya uchaguzi mwingine..
Asipo deliver, baada ya miaka mitano njoo wewe
Retired , lay down your policies and strategies za kukipeleka chama mbele, utapewa kura...
sikiliza hii, nilishaiweka hapa. Just sikilia please halafu nipemrejesho, ukitaka
View: https://www.youtube.com/watch?v=rTWpnMO7kto
Yote yameshajibiwa...
All of that was to protect Mr Chairperson...
Sasa the time is up..
He can't be protected any longer because the exit door for him is wide open...
Kama hujamwelewa Tundu Lissu, basi hutamwelewa yeyote wewe...!!
Asante, kwa heri.🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻