Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Wewe kwa akili yako kama serikali ingekuwa haihusiki unafikiri ingelikalia hili suala bila hata uchunguzi wowote au hata bila mtu hata mmoja kuhojiwa? Hii issue hakika nakuambia JPM asingeiacha ipite kama angekuwa hahusiki, same na issue ya Lissu.Ninani aliye pambana na vyeti feki ? ...ukiona mpinzani anaanza kukemea ufisadi mara tiu baada ya kuona rais anapambana na mafisadi kwa kutaka kusema hata huyo rais ni fisadi jua tu huyo ni adui wa haki ....nimesema maadui wa jpm walitumia huo mwanya kufanya uovu kwa ben saa8 hili watu wenye akili finyu.kama wewe muamini ...unajua kwa nini mbowe apendi kusikia jina la ben saa 8 baada tu ya kifo cha jpm
Halafu akili finyu unazo wewe. Usikaribishe matusi wengine hatuna breki.