lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Mmmm nahisi ni Mzee Kibao huyo! Kuna uwezekano system na Mwenyekiti ilikuwa na one mission!Mlivyoambiwa Mbowe ni gaidi mlisema anaonewa.
Zipi. Dodoso za vikao vya Kamati Kuu ya CHADEMA?How convenient. Si kuna documents?
Amandla...
Nilifikiri ni mimi ndio nilikuwa sijui kumbe siko peke yangu!Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.
Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.
Sasa majibu yame patikana.
Hii nchi imekuwa ya viongozi wa kiharamia sana; sasa hata viongozi wa upinzani wana shirikishwa kwenye uharamia huo huo, kwa kujinufaisha wenyewe!Nilifikiri ni mimi ndio nilikuwa sijui kumbe siko peke yangu!
Hiki alichokisema Lissu kimenipa tafakuri nzito, naogopa!
Na watu hao hawakuwa wepesi maana hadi walijua nyendo zake wakaenda kumkamata katika basi ambako Mzee wa watu alidhani ni usafiri salama.Dot zinaunganishwa hivi.
Kuvuja au kuanza kwa harakat za fedha za Abdul na mama yake ni lini?
Tangu hapo mjumbe gani Kamati Kuu CHADEMA amefariki?
Mzee Kibao alikuwa mjumbe Kamati Kuu? Maana kifo chake kilikuwa na dalili za mtu aliyeuawa kutokana na kuvujisha "Siri" Fulani
Mzee Kibao aliuawa kukiwa na ishara kwamba alikuwa akiwakimbia watu Fulani aliokosana nao Dar.