Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu ambacho Bwana Mkubwa amekiandika kwa muda wa miaka 4 na miezi miwili sasa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.

Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno, sentesi ,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya, basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.

Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili, tayari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini, watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.

Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.

Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.

Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
 
Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.

Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
 
Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.

Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.

Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.

Labda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,

Hapa ni kwa sababu mwanadamu kabla ya yote anakuwa na dhambi ya kurithi, na ubinadamu huo unaonyeaha kutokuwa na UKAMILIFU, ndio maana duniani mwa wanadamu waerevu husamehe!

Kwa yeyote abebaye mabaya ya mtu basi huyo hatakuwa na maana kwani atahesabika kama nayeye ni sawa na huyo anayemlalamikia! Ukiwa binadamu unakuwa hujakamilika, ukiwa mtu wa kutamka maneno kila siku yenye kulalamika basi fahamu kuwa safari yako ya mafanikio katika eneo lolote utakuwa mgumu hasa mgumu mno, unapokuwa mtu mwenye kutoa maneno ya ulalamishi kila siku Mungu pia anakuzoea na kamwe hatafungua baraka zako katika kila ufanyalo kwani unajidhihiriaha jinsi usivyo na shukrani na kusamehe

Maisha ni mafupi,lakini pia tukumbuke sisi ni binadamu,unapokuwa binadamu basi hujakamilika,tujizuie sana katika kujawa na maneno ya kulaani kwani kulalamika ni laana

Hivyo ukiona hufanikiwi na una ulimi uliotawaliwa na maneno kama hayo ujue wewe ndii tatizo. Sote hatujakamilika haijalishi umeumizwa kwa kiasi gani lakini bado na wewe si mkamilifu.

Heri ya Christmas na mwaka mpya,na Mungu akawajaze baraka yenye mafanikio kuelekea mwaka mpya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaomthamini Lisu akili zao ni kama za Lisu. Usidhani watz hawana uelewa wa kutambua mbivu na mbichi. Unatumia nguvu nyiiingi kmsifia mtu asiyestahili hata tone la sifa

Mgekua mmepuuza usingeandika hii coment yako uchwara hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.

Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Watu wenye akili timamu......hata wagonjwa wa akili hawajui kama wana matatizo...huwa wanasema hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Chunguza kwa kina habari za Ujerumani wakati wa Hitler, alijenga uchumi mkubwa sana wa viwanda, teknolojia, vifaa vya kijeshi, reli na kila kitu kwa kiwango cha juu sana.
Lakini historia iliyo andikwa juu yake ni mbaya kama vitabu vya dini vinavyo muandika shetani.
Anakumbukwa kwa mambo ya hovyo kiasi kuwa hata kizazi chake kilichopo duniani kinaona aibu kutumia jina Hitler.
Jee unataka kina Jeska waje wajipachike Surname nyingine kwa aibu ya maandishi ya historia chafu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,

Hapa ni kwa sababu mwanadamu kabla ya yote anakuwa na dhambi ya kurithi, na ubinadamu huo unaonyeaha kutokuwa na UKAMILIFU, ndio maana duniani mwa wanadamu waerevu husamehe!

Kwa yeyote abebaye mabaya ya mtu basi huyo hatakuwa na maana kwani atahesabika kama nayeye ni sawa na huyo anayemlalamikia! Ukiwa binadamu unakuwa hujakamilika, ukiwa mtu wa kutamka maneno kila siku yenye kulalamika basi fahamu kuwa safari yako ya mafanikio katika eneo lolote utakuwa mgumu hasa mgumu mno, unapokuwa mtu mwenye kutoa maneno ya ulalamishi kila siku Mungu pia anakuzoea na kamwe hatafungua baraka zako katika kila ufanyalo kwani unajidhihiriaha jinsi usivyo na shukrani na kusamehe

Maisha ni mafupi,lakini pia tukumbuke sisi ni binadamu,unapokuwa binadamu basi hujakamilika,tujizuie sana katika kujawa na maneno ya kulaani kwani kulalamika ni laana

Hivyo ukiona hufanikiwi na una ulimi uliotawaliwa na maneno kama hayo ujue wewe ndii tatizo. Sote hatujakamilika haijalishi umeumizwa kwa kiasi gani lakini bado na wewe si mkamilifu.

Heri ya Christmas na mwaka mpya,na Mungu akawajaze baraka yenye mafanikio kuelekea mwaka mpya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaposali huomba msamaha kwa Mungu kadiri walivyoutoa kwa wenzao.
Sasa unakosa kumuua mwenzio kwa risasi, unataka afe kwa kukosa matibabu, na bado unataka afe kwa njaa unapositisha ajira yake, na bado hutaki aje nyumbani na tena unataka MSAMAHA KWA MUUMBA WAKO, WAKATI HUTAKI KUWASAMEHE WALE WALIOKUKOSEA????
Una maana hiyo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaomthamini Lisu akili zao ni kama za Lisu. Usidhani watz hawana uelewa wa kutambua mbivu na mbichi. Unatumia nguvu nyiiingi kmsifia mtu asiyestahili hata tone la sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye akili za kukunishwa nazi asilani hamuwezi kumuelewa Lissu.
Na makusudio ya uwepo wenu duniani sio zaidi ya Kuijaza dunia tuu ili neno litimie.
tapatalk_1574057991740.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.

Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.

Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.

Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.

Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.

Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Mungu mchukue huyu ibilisi mtekaji watu..
Amen.
 
Back
Top Bottom